Nyomi ya dr. Kikwete mwembeyanga leo ni mara ishirini ya dr. Slaa-inaashiria nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyomi ya dr. Kikwete mwembeyanga leo ni mara ishirini ya dr. Slaa-inaashiria nini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chamajani, Oct 28, 2010.

 1. c

  chamajani JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kativii kangu ka black n white kamepona so uchaguzi niko nao beneti kwa sasa, Jana Dr. slaa nilimuona Jangwani kapata nyomi hata tiviii ilikuwa ndogo, lakini leo huyu Jeykey kapata manyomi ilibakia kiduchu kativii kangu kapasuke kwa watu waliojaa humo tiviini. Hii inashria nini jamani nyie mtakaojengewa barabara za ndege huko dar?
   
 2. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watu inabidi waende kwenye midahalo yote ili waweze kulinganisha sera. Wingi wa watu sio wingi wa kura ................siunakumbuka methali ndugu yangu............ukubwa wa pua sio wingi wa ............................:smile-big:
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Tofauti kubwa ni kwamba watu wale wa slaa ni wakazi wa temeke lakini wa kikwete ni kusomba kwa malori kutoka mkoa mzima kwani nililiona lori linapita mitaa ya TEGETA kutafuta watu wa kwenda mwembeyanga.
   
 4. v

  vickitah Senior Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukipata ile thread ya malori ndo utaelewa.. hiyo ni plus kiinua mgongo'
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  nimebold jina lako kwa sabau ulichoongea hapa ni matokeo ya kilevi Cha MAJANI.
   
 6. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Watu wa dar wanapenda sana matamasha ya wasanii.Hebu muulize mmoja wao uukupe summary ya hotuba ya kikwete.
   
 7. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Slaa hakuwepo Jangwani. Ni mwembe yanga.
  Siri ya JK kuwa na watu wengi tunaijua sisi.
  Watu hao wa JK ni artificial lakini wa Dr. Slaaa ni Natural!!
  kama umeelewa elewa kama hujaelewa sikulazimishi!!!
   
 8. J

  Jafar JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wamesombwa na mabasi na tuliyaona hayo mabasi. CCM wanajidanganya wachukua watu wale wale kule Kawe, Mwembeyanga na hao hao? je watapiga kura mara zote hizo?

  Poor CCM, jiandaeni kisaikolojia "kupokea kushindwa"
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wamejiandikisha kupiga kura????
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  HA HA HA nimecheka sana inawezekana watu wanaenda pale kuangalia shoo za wasanii na ukiwauliza summary ya hotuba ya mkwere ni wachache sana wanaoweza kukupa hint
   
 11. bigcell

  bigcell JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Poleni sisiem bado 72hrs muondolewe ulingoni na jk wenu,nguvu ya umaa haoooo waja ikulu
   
 12. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Kikwete ni dk wa nini?
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwani Kikwete alikuwa na kampeni au fiesta tu?
   
 14. c

  chamajani JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We uko Dunia hii au huko Sayari ya Mars mmeshaanza kuhamia so hujui kuwa Rais wa Tanzania ni DR. KIKWETE
   
 15. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  .[​IMG]

  [​IMG]
   
 16. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nyomi ya kubeba watu na maloli!hakuna kitu!!!!
   
 17. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wananchi wanaenda kwa dokta wa ukweli kwa utashi na dhamira zao...
  Vipi kwa "dakitari" wenu wanaletwa na nini..?
   
 18. c

  chamajani JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We Jibaba sasa ivi hapa wapi-Tazara? Chang'ombe? Ubungo au wapi? tuambie kama hawa walikuwa wanaelekea Mwembeyanga.
   
 19. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  chama cha watu dhaifu na duni, watu wanaobebwa kwenye maroli maana hawajui hata wanaenda kwenye mikutano ile kufanya nini.........
  [​IMG]
   
 20. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kwa picha hizo za malori na watu ndani yake nakubari kuwa % kubwa ya wananchi huletwa kwa malori,tusubiri hiyo tarehe,tutajua nani ni nani
   
Loading...