Nyomi kwenye mkutano wa Nape Huko Swanga.

Rugas

JF-Expert Member
Jan 8, 2009
1,048
196
Kweli siasa ni kazi.....Yaani toka dar mpaka Sumbawanga,alafu watoto tu ndo wanakuja kukusikiliza...Hebu cheki hii,iko kwenye top page ya mwananchi la leo 02.06.2011

Picture.jpg Picture.jpg
 
Ndio maana wameweka red hapo chini:WANANCHI:MNANIELEWA?mwandishi ameamua kumdhiaki nape wazi wazi,kwa sababu moja kwa moja hao watoto awaelewi kitu,wapo ilimradi.
Hicho ndio kifo cha CCM itafika kipindi hata hao watoto watawakosa.
 
Duh! Wanamuelewa kweli? Hapa nimeamini kua hiki chama hakina mvuto hata hii thready watu wanaangalia tu nakupita baada yakuona hiyo uniform ya black and blue!
 
Duh! Wanamuelewa kweli? Hapa nimeamini kua hiki chama hakina mvuto hata hii thready watu wanaangalia tu nakupita baada yakuona hiyo uniform ya black and blue!




Mimi naomba nichangie kidogo. Ingekuwa tamu zaidi kama mwandishi angeandika kabisaaaaaaaaa WATOTO MMENIELEWA!!!!!! Halafu aludie tena WATOTO MMENIELEWA EHHHHHHHHHHHHHH!!!!!!!!!!!! Halafu kibaya zaidi watu wanagoma kuingia wakidhani kwamba kweli kuna watu wazima nyomi, kumbe ni watoto nyomi, ingepata attention kama kichwa cha habari kingesomeka hivi: Kwa hali hii CCM KWISHNEY. Ungeona watu ambavyo wangeingia humu ndani na kuchangia kwa speed.
 
hahahahahaha mbavu zangu jamani sijacheka kuanzia asubuhi lakini sasa imenibidi nicheke :biggrin1:
au ilikuwa siku maalumu kwa watoto?
 
Ukiwaangalia watoto walivyojishika vichwa utagundua kuwa walihusishwa katika suala lisilowahusu kwani wao sehemu na muda wa mkutano ni mahali pao pa kucheza so wanamshangaa kwa nn hamalizi wacheze
 
Duuuuh kweli JF hiachi kitu, yaani hii nayo umeipost? Chama cha Magamba kina kazi kweli kama ndiyo hivyo!
 
Laela ni mji uliopo kati ya Tunduma na Sumbawanga... Vijana wengi ni JOBLESS... cha kushangaza hawakuwepo... pole sana Nape...
 
Back
Top Bottom