Nyokaa lounge night club, Singida

Lazima walikukalisha,maana shemeji zangu kwakulianzisha hawajambo
😂😂😂 kipindi hicho ndicho nilikuwa naanza kazi na mizuka balaa nilikichafua sana mazingira yale kisa buku mbili nikasababisha uharibifu wa mali za watu na kukamatwa madogo na bajaj yao aisee tumetoka mbali sana
 
Wazee leo nimetembelea sehemu moja inaitwa nyokaa lounge hapa singida mjini ,

Kuna totoz hizooo, yaani ni full of pensi. Ukiwatazama kwa umakini utazani wamevalishwa Pampers za watoto wachanga kwa nyuma.

Ila kuna binti la kimbulu isee hii ndio inafaa kwa matumizi ya consumers.

Singida mjini ni sehemu gani yenye night club kama hii?
MKUU wanapatikana kuanzia mda gani
 
MKUU wanapatikana kuanzia mda gani pale
 
MKUU wanapatikana kuanzia mda gani pale
Naona dalili za wazi kabisa za kichwa cha juu kuzidiwa nguvu na kile kichwa kikorofi cha chini kwa mbaaaliii!!!

Kama upo eneo la tukio, jitahidi kufanya mwenyewe utafiti mpaka ufanikiwe. Uneshaoneshwa njia! Kilichobakia hapo ni kwenda tu kumridhisha Athumani
 
Sawa mkuu mjomba Athumani muhimu😂😂😂 ile ingekuwa vizuri ungeniambia mda wanaopatikana mkuu ili nikienda sibahatishi✊🧔
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom