nyoka wa makengeza huko kwenye katiba pandikizi umeona fursa?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
akiongea kwa mbwembwe andrew chenge alijiita ni nyoka wa makengeza na huwa halazi damu mbele ya fursa za kutoka kama wanavyoita vijana siku hizi.
naomba nimuulize huko kwenye katiba pandikizi hujaweka huko fursa zako?uwe wazi ili tarehe ya kupiga kura tuihukumu kwa haki.
 
Mpigie chenge umuulize uache kupoteza muda kwa taarifa yako Chenge hana Katiba!usijaze bure server ya JF.
 
akiongea kwa mbwembwe andrew chenge alijiita ni nyoka wa makengeza na huwa halazi damu mbele ya fursa za kutoka kama wanavyoita vijana siku hizi.
naomba nimuulize huko kwenye katiba pandikizi hujaweka huko fursa zako?uwe wazi ili tarehe ya kupiga kura tuihukumu kwa haki.
Nenda kapumzike kwani huna hoja. Umeibuka tu kama bundi aliyemulikwa tochi gizani. Lete hoja tuanze kuijadili. Unasikia wewe Bwana exprisoner! Samahani expertriate.
 
------ wewe mpe kichwa chako sasa
 
kumwambia mwenzio BUNDI ndio hoja

Mm1 umetokea wapi tena na hoja zako fupi fupi?vurugu unazipenda sana lakini unashindwa kuhimili basi kuwa mtulivu na uache kushabikia mambo usiyoyajua huo ndio ushauri wangu ili wewe uwe salama.
 
Back
Top Bottom