Nyoka na fimbo kwenye Noti ya Tsh 500 ina Maana gani? BoT yatoa ufafanuzi

Lakini paul kasema neno juu ya msalaba kuwa wajinga wanaona msalaba kwao hauna maana wanasahau kwamba kwa msalaba huo huo tumeokolewa...! Ivi unadhani yesu hakujua kuwa mitume watakufa? Au ulidhani alijua baada ya vifo vya mitume injili ilishia pale? Au unahisi Mungu hatendi makuuu tangu enzi za Adam mpaka sasa huku akijidhirisha kwa watu wake kwa namna aonavyo inafaa? Wewe sawa na wale wap..umbafu ambao paul anasema hujisemea moyobi kuwa hakuna Mungu. Mwisho ujue msalaba wa kristo haupo km kujumlisha ila wa mpinga kristo ndiyo kama kujumlisha...! Nakupa task moja usipodharau ifanye, simama wima tandaza mikono yako, sura au alama upatayo ndivyo msalaba wa kristo ulivyo. Barikiwa.

Teh teh teh!
Mkuu nimesimama na nimefanya ulivyosema yaani kidogo nisababishe ajali.

Duh! We mtu mbaya sana.

Sasa turudi kwenye somo.

Unasema msalaba umekuokoa!
Umekuokoa na nini! Au una maanisha DHAMBI?

Hebu jamani tokeni nje ya Box hata siku MOJA TU muuone ukweli.

Hivi kweli wewe na akili zako timamu kabisaa unakubali tena bila wsws kuwa MUNGU ALIMPENDA SAAAAANA MWANAWE WA PEKEE halafu AKAAMUA KUMTOA KAFARA YA KUUWAWA KIFO CHA LAANA ili wewe mwenye dhambi ZA KILA AINA ulizozifanya kwa ubinafsi wako AZIBEBE KIPENZI CHA MUNGU??

we kweli umefikiri hii kitu?

Kawaida ya BABA mwenye MAPENZI NA MWANAE huona NI BORA AUMIE YEYE KULIKO MWANAE sasa inakuwaje MUNGU MKUU afanye uovu wa namna hii?

Pili. Km Huyo mungu wako ana uwezo wote Kwanini ASIAMUE KUSAMEHE TU MPAKA MTU AFE MSALABANI?

Hii adhabu Alikuwa anataka KUMRIDHISHA NANI HASA??

Km ni Yeye MWENYEWE basi Ntakosea kusema lbd huyo mungu wako ana matatizo ya kichwa?

Na hebu tuone je! Biblia inasema nini kuhusu KUBEBA DHAMBI YA MTU MWINGINE??

BIBLIA INASEMA.

Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuwawe kwa ajili ya baba zao;- kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.

Kumbukumbu 24.16

Hali kadhaalika tunasoma neno la Mungu katika kitabu cha Yeremia:

Siku zile, hawatasema tena, Baba za watu wamekula zabibu kali, na meno ya watoto wao yametiwa ganzi. Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe;- kila mtu alaye zabibu kali, meno yake yatatiwa ganzi.

Yeremia 31.29-30

-Tena Neno la Mungu linaendelea kusema katika kitabu cha Ezekieli kwa uwazi zaidi:

Lakini ninyi mwasema, Kwani yule mwana asiuchukue uovu wa baba yake?- Yule mwana atakapofanya yaliyo halali na haki, na kuzishika amri zangu na kuzitenda, hakika ataishi.- Roho itendayo dhambi, ndiyo itayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe; haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.

Ezekieli 18.19-20

Na ukitaka kuona kuwa HATA YESU MWENYEWE HAKUPENDA. KUSULUBIWA. Hebu sikiliza maneno yake Alipopata hisia kuwa kuna BIASHARA YA KIPIGANA MISUMARI MSALABANI.

MATHAYO 26:39

Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.-

SASA Yesu Anaaanguka kifudifudi na KUOMBA kwa Mungu kuwa AEPUSHWE NA ADHABU HIO.
Lkn Juu ya juhudi yoote hio ya MAOMBI huyo Babake Hakukubali na AKAAMUA BORA AKAFE TU.

Mkuu amka kabla mauti hayajakutwaa.

Karibu ktk HAKI. Karibu ktk ibada ya kweli.
Na karibu ktk mapenzi ya KWELI YA YESU.
Sio mapenzi ya kusulubiana mkuu.
Hio kitu sio mapenzi.
Hizo ni Chuki mbaya mno kwa YESU mtume wa MUNGU.
 
teh teh teh!
Mkuu nimesimama na nimefanya ulivyosema yaani kidogo nisababishe ajali.

Duh! We mtu mbaya sana.

Sasa turudi kwenye somo.

Unasema msalaba umekuokoa!
Umekuokoa na nini! Au una maanisha dhambi?

Hebu jamani tokeni nje ya box hata siku moja tu muuone ukweli.

Hivi kweli wewe na akili zako timamu kabisaa unakubali tena bila wsws kuwa mungu alimpenda saaaaana mwanawe wa pekee halafu akaamua kumtoa kafara ya kuuwawa kifo cha laana ili wewe mwenye dhambi za kila aina ulizozifanya kwa ubinafsi wako azibebe kipenzi cha mungu??

We kweli umefikiri hii kitu?

Kawaida ya baba mwenye mapenzi na mwanae huona ni bora aumie yeye kuliko mwanae sasa inakuwaje mungu mkuu afanye uovu wa namna hii?

Pili. Km huyo mungu wako ana uwezo wote kwanini asiamue kusamehe tu mpaka mtu afe msalabani?

Hii adhabu alikuwa anataka kumridhisha nani hasa??

Km ni yeye mwenyewe basi ntakosea kusema lbd huyo mungu wako ana matatizo ya kichwa?

Na hebu tuone je! Biblia inasema nini kuhusu kubeba dhambi ya mtu mwingine??

Biblia inasema.

Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuwawe kwa ajili ya baba zao;- kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.

Kumbukumbu 24.16

hali kadhaalika tunasoma neno la mungu katika kitabu cha yeremia:

Siku zile, hawatasema tena, baba za watu wamekula zabibu kali, na meno ya watoto wao yametiwa ganzi. Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe;- kila mtu alaye zabibu kali, meno yake yatatiwa ganzi.

Yeremia 31.29-30

-tena neno la mungu linaendelea kusema katika kitabu cha ezekieli kwa uwazi zaidi:

Lakini ninyi mwasema, kwani yule mwana asiuchukue uovu wa baba yake?- yule mwana atakapofanya yaliyo halali na haki, na kuzishika amri zangu na kuzitenda, hakika ataishi.- roho itendayo dhambi, ndiyo itayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe; haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.

Ezekieli 18.19-20

na ukitaka kuona kuwa hata yesu mwenyewe hakupenda. Kusulubiwa. Hebu sikiliza maneno yake alipopata hisia kuwa kuna biashara ya kipigana misumari msalabani.

Mathayo 26:39

akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.-

sasa yesu anaaanguka kifudifudi na kuomba kwa mungu kuwa aepushwe na adhabu hio.
Lkn juu ya juhudi yoote hio ya maombi huyo babake hakukubali na akaamua bora akafe tu.

Mkuu amka kabla mauti hayajakutwaa.

Karibu ktk haki. Karibu ktk ibada ya kweli.
Na karibu ktk mapenzi ya kweli ya yesu.
Sio mapenzi ya kusulubiana mkuu.
Hio kitu sio mapenzi.
Hizo ni chuki mbaya mno kwa yesu mtume wa mungu.

amina amina! Naimba kujua kama unakiri kuwa mungu si mwanadamu...!
 
amina amina! Naimba kujua kama unakiri kuwa mungu si mwanadamu...!

Mkuu.
mungu (kwa " m" ndogo) anaweza kuwa yyt yule.
Kuna baadhi ya binaadamu hata ng'ombe ni mungu wao.

Lkn Mungu (with capital "M") Huyo na MMOJA TU.

SIO MWANADAMU.
HAKUZAA WALA HAKUZALIWA.
WALA HANA MSHIRIKA KTK UFALME WAKE.
MFALME wa wafalme.
MWENYE KUUMBA na Wala HAKUUMBWA.

Na wala Sio watatu kwa mmoja au mmoja kwa watatu.

Na sifa Hizo za MUNGU MMOJA ZIMO NDANI YA BIBLIA kwa maneno yake YESU MWENYEWE na sio yule mpotoshi PAULO.
kiumbe ambae hajawahi hata kumuona Yesu! Wala Kuishi na Yesu.
na wala Hajawahi kufanya kazi ya Imani na YYT katika wale Manabii 12 Wa YESU mwana Wa MARIA.

Nadhani nimekujibu mkuu.
 
Mkuu.
mungu (kwa " m" ndogo) anaweza kuwa yyt yule.
Kuna baadhi ya binaadamu hata ng'ombe ni mungu wao.

Lkn Mungu (with capital "M") Huyo na MMOJA TU.

SIO MWANADAMU.
HAKUZAA WALA HAKUZALIWA.
WALA HANA MSHIRIKA KTK UFALME WAKE.
MFALME wa wafalme.
MWENYE KUUMBA na Wala HAKUUMBWA.

Na wala Sio watatu kwa mmoja au mmoja kwa watatu.

Na sifa Hizo za MUNGU MMOJA ZIMO NDANI YA BIBLIA kwa maneno yake YESU MWENYEWE na sio yule mpotoshi PAULO.
kiumbe ambae hajawahi hata kumuona Yesu! Wala Kuishi na Yesu.
na wala Hajawahi kufanya kazi ya Imani na YYT katika wale Manabii 12 Wa YESU mwana Wa MARIA.

Nadhani nimekujibu mkuu.

Simu yangu ina auto editin so plz na manisha MUNGU. With caps.
 
kwa hiyo hata yule nyoka wa Musa ni wa freemason? unajua watu mmekuwa wahubiri wa mambo bila kujua historia ya yale mnayoyahubiri. mmekuwa kama wachungaji wa mitaani wanaowahubiria wasiojitambua kisa tuu hawawezi kudadisi ukweli wa mambo.

Historia inaonyesha ile alama ipo miaka mingi kabla ya Kristo lakini freemason imeanzishwa kwenye karne ya 13 baada ya Kristo. sasa sijui huo uhusiano unakujaje hapo.

Unapohusisha kila alama ya nyoka na ushetani inaonesha huna imani kwani hata Mungu kuna wakati alitumia nyoka kuonesha ishara ya ukuu wake. mfano; nyoka wa Musa alietokea baada ya kutupa fimbo chini ambayo yalikuwa ni maajabu ya Mungu

freemason imeanza babeli hiyo ni moja,pili hiyo alama inamaanisha mungu wa afya tafiti medical institutions zote zinahiyo alama,
1.WHO
2.ROYAL INSITUTE OF PUBLIC HEALTH
3.MEDICAL ADVISORY BOARD
4.EMERGENY MEDICAL TECHNICIAN
N.K

inaitwa caduceus

biblia tofauti na KJV ni za kuchoma moto
 
Minyoo/Utabibu kwenye noti ya jero unatafuta nini labda? Ufafanuzi kiongozi.

kwenye bendera pia ya
duchy of milan and insubria

tafuta
the devil goat baphomet utaiyona hiyo alama ni mungu wao wa afya
 
mnajua kwanini babu wa loliondo alitaka tu mia tano????????????????????????think
 
kwa hiyo hata yule nyoka wa Musa ni wa freemason? unajua watu mmekuwa wahubiri wa mambo bila kujua historia ya yale mnayoyahubiri. mmekuwa kama wachungaji wa mitaani wanaowahubiria wasiojitambua kisa tuu hawawezi kudadisi ukweli wa mambo.

Historia inaonyesha ile alama ipo miaka mingi kabla ya Kristo lakini freemason imeanzishwa kwenye karne ya 13 baada ya Kristo. sasa sijui huo uhusiano unakujaje hapo.

Unapohusisha kila alama ya nyoka na ushetani inaonesha huna imani kwani hata Mungu kuna wakati alitumia nyoka kuonesha ishara ya ukuu wake. mfano; nyoka wa Musa alietokea baada ya kutupa fimbo chini ambayo yalikuwa ni maajabu ya Mungu

Hahaha kweli kaka kuna muda akili za kwenye google na wikipedia changanya na zako.
 
ile ni alama ya utabibu,na si nyoka yule kama uzaniavyo,ni aina ya minyoo fulani mikubwa,na ile fimbo ni kijiti,yaani ule mnyoo hauwezi kuushika kwa mikono,kiafya walau tumia kijiti.
 
Ndo maana babu Wa loliondo alikua anataka ulipe kwa noti ya mia 500, yenye rangi ya kijani ya ccm
 
apo vp chuo cha kanisa hicho
2Q==
 
Ili ccm kwa nguvu za kinyokanyoka ,kiibiliibilisi waweze kulaghai taifa kwa kuzindika kila mwakilishi Wa kabila
 
Kwenye vitabu vya torati, kuhusu musa na wana israeli, mtakumbuka kuna wakati waisrael walipokuwa jangwani walichoka na safari na kumlaani mungu, mungu akaweletea nyoka wengi ghafla na kuanza kuwagonga na kuwaua, baadae musa akawaombea msamaha, mungu akamwambia achukue fimbo na amuweke nyoka juu ya hiyo fimbo, ili atakaye mwangalia yule nyoka atapona. Ndo hapo ikawa alama ya utabibu hadi sasa.
 
Back
Top Bottom