Nyoka na fimbo kwenye Noti ya Tsh 500 ina Maana gani? BoT yatoa ufafanuzi

Mhhhh napita tu lakini huyo nyoka ana maana nyingi.Je kama inatokana na habari ya Musa,waisrael wanaitumia?!!
 
Alama ile inamaanisha tiba nakubaliana na hoja ya kijiti kilichotumika kutoa minyoo mwilini kwa ile hoja ya musa iko kidini zaidi wengine hawataamini hata km ni sahihi... na je ule ukumbi wa nkurumah wa UD unamaanisha nn?
 
Watanzania tusipojiadhari na huu ujinga wa Free masons kila kitu kitaelekezwa huko... Hata Drogba alivyoshangiliwa juzi na anavyojulikana mtasema ni free masons... Kika kitu tunakiassociate na ufree masons ili tusiendelee kufikiri...huu ni uvivu wa kufikiri tuuache ....Let us think loud, let us think Big...
 
kama nyoka ni alama ya tiba mbona pia nyoka anakua associated na shetani eti ndie aliyemdanganya hawa kule bustani ya edeni, kipi ni kipi, nyoka ni tiba au shetani? kama ni tiba si wangeweka picha ya mwarubaini basi ambao ni rahis kwa kila mtu kuuelewa kua ni dawa?
 
Kila nishikapo noti ya shilingi mia tano huwa nakutana na picha ya nyoka aliyejiviringisha kwenye fimbo. Kwa anayejua naomba anipe ufafanuzi japo kidogo, hivi mchoro ule unawakilisha nini?

Sababu zake ni sawa na sababu zilizokufanya uweke hii avatar, lenu moja
 
Kila nishikapo noti ya shilingi mia tano huwa nakutana na picha ya nyoka aliyejiviringisha kwenye fimbo. Kwa anayejua naomba anipe ufafanuzi japo kidogo, hivi mchoro ule unawakilisha nini?
kwa bahati mbaya shekhe yahaya ametangulia mbele ya haki.hakika angekuwepo angekusaidia kukupa jibu.
 
kama nyoka ni alama ya tiba mbona pia nyoka anakua associated na shetani eti ndie aliyemdanganya hawa kule bustani ya edeni, kipi ni kipi, nyoka ni tiba au shetani? kama ni tiba si wangeweka picha ya mwarubaini basi ambao ni rahis kwa kila mtu kuuelewa kua ni dawa?

Nyoka aliyemdanganya Hawa sidhani kama ndo huyu huyu au tasfida inatumika hapo.
 
Nenda goole type freemasonry plan; hapa waweza kupata pressure ni imani undercover na uwe makini unyoosheapo mtu kidole na kumwambia yeye ni free mason na ikawa kweli huyo mtu mfuasi wa imani hiyo. Siyo kila alama ni ya ushetani. Huu ni mwanzo tu tuendako kila bidhaa itakuwa na nembo ya mfano wa Kofia ya papa ya ishara ya Free marsom
 
huyu ndo freemoson master
NYOKA+5.JPG
 
kama nyoka ni alama ya tiba mbona pia nyoka anakua associated na shetani eti ndie aliyemdanganya hawa kule bustani ya edeni, kipi ni kipi, nyoka ni tiba au shetani? kama ni tiba si wangeweka picha ya mwarubaini basi ambao ni rahis kwa kila mtu kuuelewa kua ni dawa?
nyoka kama nyoka ni mnyama innocent kabisa na aliumbwa kwa madhumuni mazuri na Mungu kama walivyoumbwa wanyama wengine kama Binadamu, Nguruwe, Mbwa,Mijusi n.k waliosoma ECOLOGY watakubaliana na mimi kuwa kila kiumbe kina umuhimu wake katika ecosysterm.Sasa basi Lugha iliyotumika kwenye scriptures siyo lugha ambayo unaweza kui construe litearaly.inahitaji utaalamu hasa vitabu vya kinabii.ni zaidi ya statute (sheria) ambazo kuna ufundi fulani wa kuzisoma ambazo zinahitaji mtu aliyebobea kwenye fani ya sheria (statute reading) ambapo hata kama maneno yaliyotumika yanaonekana ni ya kawaida kabisha kisheria yatakuwa na maana nyingine.kwa maana hiyo hakuna jinsi ambavyo sheria au katiba itaandikwa kirahisi ili kila mtu aielewe kwani hata mwana jurisprudensia maarufu J.BENTHAM theory zake ziliprove failure kwa hilo.Mwisho nyoka kufananishwa na shetani katika vitabu haimaanishi kwamba ni shetani kweli au ana ufanano wowote wa kimopholojia na shetani au Mungu anamchukia nyoka hasha.Mungu alitumia lugha ya picha katika kupeleka ujumbe na alitumia kutokana na wakati.Ukumbuke kuwa Mtume petro aliyemkanana Yesu mara tatu alikemewa na Yesu lakina baadaye ndio huyohuyo ailyekabithiwa kanisa na Kristo.
 
Ile alama sio nyoka ni mnyoo ambaye huweza kumwingia mtu na hapo zamani ilibidi mnyoo huo uviringishwe kwenye kijiti halafu ndo utolewe!
 
We investigated the meaning and the roots of the snake's usage as a symbol of medicine, the medical profession, toxicology and toxinology by examining mythological, archeological data and a variety of texts from the ancient Greek world. The snake figure was associated with Asclepios, the ancient Greek God of medicine, and possessed benevolent properties. It was believed to be able to cure a patient or a wounded person just by touch. The snake is also connected with pharmacology and antisepsis, as snakes possess an antivenom against their own poison. The snake is related to sciences associated with poison and death, such as toxicology and toxinology, and it also implies a metaphysical idea. It is connected with the underworld, not only because it crawls on the ground, but because it can bring death, connecting the upper with the underground world. The ability of the snake to shed its skin has been associated with the circle of life, and the renaissance spirit also, ever since early Hellenic antiquity. Consequently, as a symbol of the modern medical profession, toxicology and toxinology, the snake twisted around a stick or the snake beside a pharmapeutic cup, which also implies the use of medicines or even poison, has its roots in the ancient Mediterranean area as proven by the archeological data combined with literary references. Its benevolent as well as its poisonous properties could be paralleled by the similar properties of medicines.​
 
Back
Top Bottom