Nyoka mkubwa kaingia ndani kwangu halafu kajificha

Mafuta ya taa, Oil chafu, Diesel, choma mipira vyote hivyo ni sumu kwa nyoka atatoka tu.

Isee hiyo ni ofisi yangu mimi nafuga nyoka niambie ni sehemu gani nikuje mchukua tafadhali msimuuwe kwani hiyo ni Ajira sio Hatari kama muionavyo poleni waungwa
 
Anaitwa swila ana uwezo wa kurusha mate umbali wa mita 15 ogopa sana! Watoto wakae mbali...but hakuna kisichowezekana kwa Mwanaume...
 
Mafuta ya taa, Oil chafu, Diesel, choma mipira vyote hivyo ni sumu kwa nyoka atatoka tu.

icee hiyo ni ofice yangu mimi nafuga nyoka niambie nisehem gani nikuje mchukua tafadhali musimuuwe kwani hiyo ni Ajira sio Hatari kama muionavyo poleni waungwana
 
Wadau mwenye kujua namna navyoweza kumtoa maana sielewi kaingia lini na kajificha wapi maana nimemwaga mafuta ya taa nyumba nzima pia nikachoma mpira na nimemuona leo asubuhi hata kazini nimeshindwa kwenda kbs watu wote tupo nje mpk ss hv!mwenye kujua ni namna gani naweza kumpata na kumtoa maana cjui kama yupo mwenyewe au kuna wenzake humo plz jamani mawazo yanahitajika ni kimara huku,na tukishindwa kumpata tutashindwa kulala ndani wadau leo!

Asije kuwa alikuwa mwana CCM anahangaika anataka kujivua gamba...oh no am joking!!
Mkuu wadau wengi wamekueleza njia sahihi za kumtoa huyo kiumbe correctly,kama ulimuona asubuhi,naye atakuwa ameshastukia hapa nimevamia himaya ya watu kama kulikuwa na sehemu yoyote ipo wazi kama madirishani au mlango wa uani anaweza kuwa ameshasepa kama bado yupo basi atakuwa amejificha mahali fulani ametulia,kama kuna kitu kama kama mtungi uko wazi,ama sehemu zenye vitu vingi anavyoweza kupenya..mafuta ya taa huenda haujayaelekeza maeneo ambayo possibly anaweza kuwepo.pia unapaswa kutokuwa muoga sana kwani kama hakutakuwa na mtu atakayekuwa jasiri kidogo itakuwa ngumu kum locate huyo kiumbe
 
Kwa hili tatizo linaninyima raha kabisa maana kama asipotoke tutaingiaje ndani!hapa ss hv ndo tunachoma mapira ndani na mlango uko wazi!ila pia tunajaribu kutoa vitu ndani kupata nafasi kama pengine tunaweza kumuona!inachanganya sana hata kazini nimeshindwa kwenda!
Ukishindwa kumtoa waite Fire and Rescue waje wamtoe, ndiyo kazi zao hizo. Ulaya wazungu wanaita fire and rescue kisa paka kanasa kwenye mtego iwe wewe ambaye kuna nyoka anayetishia maisha ya familia yako?
 
Una hakika umo ndani hakuna shimo? Nyoka akiona shimo hajiulizi mara mbili, anaingia hasa kama kuna harakati. Hayo mafuta na matairi ni sahihi kutumia ila tafuta vijana unaowaamini, wakusaidie kumsaka.
 
Mweusi huyo ni katili though siyo sana. But changamoto yake nyingine ni kwamba huwa ana tabia ya kutema mate. Sisi kule kwetu unapodeal na nyoka wa aina hiyo unafumba kabisa mdomo. Kwa kufanya hivyo tunaamini kwamba unakuwa umemuwahi, kwa hiyo yeye hawezi tena kukusanya mate mdomoni na kuyarusha.
 
Kama unajua aina ya njoka mwenyewe, igiza mlio wake. Unaweza ku-download mlio wale toka intrenet na kuicheza hiyo sauti toka kwenye kompyuta au simu atakufuata uliko na kutoka.
 
icee hiyo ni ofice yangu mimi nafuga nyoka niambie nisehem gani nikuje mchukua tafadhali musimuuwe kwani hiyo ni Ajira sio Hatari kama muionavyo poleni waungwana

Hata mimi katika maelekezo yangu hakuna sehemu nimeonyesha auawe bali atumie hizo nyenzo kumtoa. Una kibali cha kufuga wanyama? Au unataka kusafirisha kwenda nje ya nchi kama ulivyofanya yule twiga.
 
Pole mzee sasa ni hv... Kwanza unatema mate ili yeye asikutemee, afu unachukua kanga, kitenge au taulo unaviringisha kama kata ili asiweze kukimbia abaki pale pale alipo! Ndipo umtafte! Ukshndwa N-pm nije nimkome Nyani.
Hahah, umkome nyani giladi???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom