Nyodo zingine hazifai kabisa nyie wadada..!!!

Loy MX

JF-Expert Member
Mar 26, 2012
1,253
312
Hii nimeitoa sehem flani...
Jamaa
Katika pilika zake za hapa na pale akiwa stend kuna
dada kadondosha simu
akaiona akamuita daah dada
alivyomsonya dah mtu mzima
akaaibika akaikota ile simu na kuondoka nayo
baadaye
akampigia akamwambia yeye ni
mwenye simu jamaa akamuambia na
mimi ndiyo yule uliyemsonya
stendi yule sister akamwomba msamaha
akamwomba amuelekeze mahali alipo
ili amrudishie simu.......sijajua jamaa alichukua hatua gani.
 
lakini ni ukweli hawa jamaa zetu wengine wanaringa sijui nyodo, na ukiangalia hawana cha kulingia, ukichungulia kwa ndani wengine wanakaa vyumba vya giza...!
 
Mimi nilijua umeleta mwendelezo wa hiyo story kumbe ni yale yale.
 
Back
Top Bottom