The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,614
Mzuqa wanaJF!
Her ya mwaka mpya tumeuona.
Huyu jamaa nakumbuka alikuaga na nyodo sana. Kwake kwa nje ya fens kulikuwa nakamti flan kanaleta kivuli. Basi masela kitaa tukaweka mawe na bench tunacheza draft na story.
Siku moja akaja huku kashika shoka kwa jazba akatufukuza nakutuambia nyinyi life failures ondokeni hapa sitaki kuwaona eneo langu nakuukata ule mti kwa fujo bila sabab na hupo nje ya fens yake.
Akitembea alikuwa akipandisha mabega nakutanua mikono sehemu za makwapa kifuani zikitanuka utadhan king kobra.
Alishamtukana msela flani huna hela wewe huna elimu.
Alikuwa akimyanyasa sana mdogo wake wa kiume kwa kumfungia nje. Dogo alikuwa anapenda sana kucheza mpira hakosi mazoez.
Kuna ndugu zake walimtembelea usiku akawafukuza akiwa ndani ya geti akiwafokea mbona hawakumtaarifu kabla hawajaja? "Laleni nje mnilinde na kesho mtangulie wenyewe kituoni polis.
Mdogo wake alikuwa anatusimulia vioja alivyokuwa anavyovifanya na mke wake. Kabla hawajaondoka kwenda kazini wanapanga vitu kama CD style flan wakirudi wakute zimegeuzwa wanaulizwa kwa nini?
Sasa jana nimesogezewa umbea na wanoko jamaa sasa hivi hali mbaya anapumulia mashine ni kati ya wale wenye vyeti feki Jiwe aliwaondoa.
Dah life!