"Nyinyi life failures sitaki kuwaona hapa" dah nikikumbuka

Mbususu Enthusiast

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,914
2,000
Mzuqa wanaJF!

Her ya mwaka mpya tumeuona.

Huyu jamaa nakumbuka alikuaga na nyodo sana. Kwake kwa nje ya fens kulikuwa nakamti flan kanaleta kivuli. Basi masela kitaa tukaweka mawe na bench tunacheza draft na story.

Siku moja akaja huku kashika shoka kwa jazba akatufukuza nakutuambia nyinyi life failures ondokeni hapa sitaki kuwaona eneo langu nakuukata ule mti kwa fujo bila sabab na hupo nje ya fens yake.

Akitembea alikuwa akipandisha mabega nakutanua mikono sehemu za makwapa kifuani zikitanuka utadhan king kobra.

Alishamtukana msela flani huna hela wewe huna elimu.

Alikuwa akimyanyasa sana mdogo wake wa kiume kwa kumfungia nje. Dogo alikuwa anapenda sana kucheza mpira hakosi mazoez.

Kuna ndugu zake walimtembelea usiku akawafukuza akiwa ndani ya geti akiwafokea mbona hawakumtaarifu kabla hawajaja? "Laleni nje mnilinde na kesho mtangulie wenyewe kituoni polis.

Mdogo wake alikuwa anatusimulia vioja alivyokuwa anavyovifanya na mke wake. Kabla hawajaondoka kwenda kazini wanapanga vitu kama CD style flan wakirudi wakute zimegeuzwa wanaulizwa kwa nini?

Sasa jana nimesogezewa umbea na wanoko jamaa sasa hivi hali mbaya anapumulia mashine ni kati ya wale wenye vyeti feki Jiwe aliwaondoa.

Dah life!
 
Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
429
1,000
Dahh!! Dharau hazifai kabisa mkuu pole kwa matusi aliyo kupa nimejifunza kitu hapa

James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,933

Mimi niliambiwa" Nina uwezo wa kufundisha (masomo) familia yenu yote". Jamaa ni kweli alituzidi elimu..but not anymore...not any more at all.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbususu Enthusiast

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,914
2,000
Wewe ni mchawi tu, kukaa kumuombea alie juu ashuke ili uchekelee, pambana na wewe uende juu
Sijafurahi ila nimeleta uzi tujifunze. Tunajisahau sana tukiwa welloff. What goes around comes around. Karma is a bitch. Nikumuomba Mungu tu kwasababu life is not guarantee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom