Nyimbo zipi ulizipenda enzi hizo?

Rostema

JF-Expert Member
Nov 27, 2018
2,929
9,467
Habari wakuu

Sihitaji kuwachosha niende kwenye mada.

Ni nyimbo zipi kwa bongo ulizipenda na mpaka sasa zikipigwa unakumbuka enzi hizo?

Kwa mfano: Mimi nyimbo za wasanii wa Daz Nundaz mfano Barua, Kamanda, Umbo Namba Nane, Mkasa wa Bosi na Elimu Dunia mpka sasa napendelea kuzisikia.

Je,wewe nyimbo zipi unazikumbuka za enzi hizo na ziliaminika kukosa maadili lakini ukizisikia unapata maudhui mazuri na maadili yake yako vizuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaasu hayo maumbile yako yananipendeeza niwe nayo had milele
Asu_Abduri misambano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom