Nyimbo zinazopatikana kwenye series za kikorea nitazipataje wakuu?

buhoro ksl

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
224
250
Vile vianduje hakika wanafiti kila angle na mojawapo ni zile nyimbo zilizopo kwenye series zao hasa za love story.

Naomba tuweke hapa nzuri ili nipate kuziweka kwa playlist yangu.
 

Vi rendra

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
3,051
2,000
Kwa hyo nkiandika hvo ndo napata list ya nyimbo zote za kikorea?
Aisee 🙌 hujaona mfano?
nyimbo si umeziona kwenye series zao? sasa ile series ambayo umeiona hio nyimbo ndio unaandika jina lake halafu unaongeza OST
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom