Nyimbo zangu bora kabisa za Kikongo niwapo safarini muda wote

Videos zote za Mopao, Zaiko Langalanga, Extra Musical, Defao, Madilu, Pepe Kale, KandaBongo Man, Loketo, Soukouss Stars, Fally Ipupa, Werason albam za kabla ya 2013, JP MPiana na Wenge BCBG, Wenge musical 4*4, Yondo Sister, Awilo Longomba, Twanga pepeta, FM academia, Ghatho, Mbuta Likasu, Mbilia Abali etc, hapo Mzee nikishika gari Kama natoka Mpanda,Swanga au Mbeya au Mwanza Dar naingia mapema tu
Zisikilize au zidownload hapa..nimekurahisishia


 
Wakuu yaani hizi ni lazima niwe nazo kwa ajiki ya kunifariji safari hasa nikiwa naambaa na kona za Iyovi yaani nasikia raha kabisa

1.Werasin-Blandine
2.Tshala Muana-Tshibola
3.Felle gola-100 kilos
4.Madilu system - frere edward
5.Fally Ipupa -canne sucre
6.Mbilia belle - Nadina
7.Super Mazembe - Shauri yako
8.JB Mpiana - Mohamed kanyiansi
9.Nyiboma -Double Double
10. Franco-Massu


Dah! Yaani bila hizo nyimbo safari hakuna unaweza kujazia na nyingine zipo kibao
100 kilos, Blandine, Canne sucre wabheja sana. Ongezea Sisi Silvie & Bambino (Mupao), Maya (Madilu), Traveling love, Orgazy & Nyokalesse ile live performance (Fally Ipupa)
 
Kuna wimbo flani hivi wa Kikongo siujui hata jina lake ila katika huo wimbo wanaonekana maalbino wakipanda milimani kama una mambo ya kishirikina na kutambika hivi natamani sana niufahamu lakini sijui unaitwaje
 
Hi ngoma mi nishaivulia kofai aisee!
Nikiwa na stress huwa nafungulia hili ngoma jamaa najistukia stress niliyokuwa nayo imekata mazima😂
Ya jean-madiluu
Hii ngoma najikutaga nasema tupe kama tulivo
 
Ya Je'an- Madilu system
Eswi yo wapi- M' bilia bel
Sacramento- Tabu ley
Massu- Jolie Detta
12600 letter- Franco & T.P.O.K jazz
Nzele- Madilu system
Leau- Madilu system
 
Ongeza na hizi
voyage -wenge
aime moi-fally ipupa
makolo ya masiya-tp ok
kamasutra-feregola
mer chef-fere gola


ila blandine hapo umenikosha hasa inapoanza verse ya feregola pale dah!!
Hayo makolo si timu hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom