Nyimbo za Navy Kenzo zaniongezea wateja mgahawani kwangu

TANGAZO. Tunauza movies za aina zote, bei ni 1500 - 3500 (inategemea ukubwa wa movie) pia tuna tuna kwa WhatsApp na E-mail. Ni PM kwa wanaohitaji!!! KARIBUNI SANA!
Duuh...kwa tsh 1000 tu mbona unaweza download movies 3 adi 5 kali tena mpya ( HD latest movies).

Namaanisha mfanye movie 1 iwe tsh 100 au 200
 
Hyo bei ya package yenye idadi kadhaa za movies ila bei ndo kuanzia hyo buku mkuu
 
Sasa unaweza kudownload muvi whatsapp usiite online? Ni offline, sio?
Ni online lakini nimezitenga kumaanisha kuna njia zingine Online.
Nikidownload online kupitia sites nitatumia Bando tu mfano la buku.
Lakini nikimtumia huyo jamaa nitatumia bando la buku kama kawa kudownload whasap au email halafu tena nitamuongezea na Buku jero ya malipo yake.kwahyo total 2500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli, but after all, simtetei ila nafikiria kwamba anafanya kuwasaidia wasio na utaalamu wa hizi sites na wanahitaji muvi. Angali hizi site mara nyingi zinakuwaga na adverts na hii inawakera watu wengi... kuepusha usumbufu huyu jamaa anakuwa ni great link kati yao na muvi hizo.

But after all kila mtu anaangalia chenye faida kwake.
 
Hasaidii mtu anaibia wasiojua.

Wale wanaocharge 2000 kuingiza whatsap kwenye simu wanasaidia wateja wao?
wale wanaingiza nyimbo moja kwenye simy kwa 500 wanasaidia wateja wao?
wale wanaotengenezea watu akaunti za facebook kwa 3000 wanasaidia wateja wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasaidii mtu anaibia wasiojua.

Wale wanaocharge 2000 kuingiza whatsap kwenye simu wanasaidia wateja wao?
wale wanaingiza nyimbo moja kwenye simy kwa 500 wanasaidia wateja wao?
wale wanaotengenezea watu akaunti za facebook kwa 3000 wanasaidia wateja wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes i like to think the other way around. Najua wewe ni muelewa na utanielewa nikikuambia in the current modern world nothing is offered at no cost. Hata kupewa ushauri tu una-pay attention. Ije kuwa hizo huduma ulizozitaja?
 
Sawa nothing is free lakini pia kuna concept ya Value ya huduma in relation to the money being charged vinatakiwa vioane.

Mtu hawezi kuuza apple moja 30,000/= kwa kigezo cha nothing is free

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa nothing is free lakini pia kuna concept ya Value ya huduma in relation to the money being charged vinatakiwa vioane.

Mtu hawezi kuuza apple moja 30,000/= kwa kigezo cha nothing is free

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi, kaka, na ninakubaliana na wewe kwa asilimia miamoja. Nilikuwa na-play devil's advocate. Thing is one ought to teach fellow men how to fish rather than give them fish. Tupo kwenye boti moja. 😎
 
Upo sahihi, kaka, na ninakubaliana na wewe kwa asilimia miamoja. Nilikuwa na-play devil's advocate. Thing is one ought to teach fellow men how to fish rather than give them fish. Tupo kwenye boti moja.
Much obliged..

Basi tumalizie na Quote
"For every complex problem there is an answer that is simple, clear and wrong"-H.L Mencken

"Every normal man must be tempted, at times, to spit on his hands, raise the black flag, and begin slitting throats." -H.L Mencken
 
Back
Top Bottom