Nyimbo za Maulid on KLHN

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,600
40,373
Kama baada ya nusu saa hivi kuanzia saa 11 EST, tutawaletea matangazo live ya kuadhimisha siku kuu ya kuzaliwa Mtume Mohammed (SAW) ambayo imeadhimishwa na ndugu zetu Waislamu pote duniani.

Featured artist ni yule Gwiji toka Misri, Marehemu Bi. Umm Kulthum!

Join me..
 
Mkjj, kwa mara nyingine tena nakuomba-nakuomba uwe una-refer to Tanzania time, (EAT), hayo mambo ya EST, ECT n.k. time za vijijini kwenu sisi hapa Bongo yanatuchanganya tu bana... li-inchi lenu likubwa hilo mpaka limejiwekea ma-time zones yake kibao, sijuii yako mangapi vile... anyway, haya ni maoni yangu tu. Baadae.
 
sasa saa hizi ni saa kumi na moja, jumlisha masaa saba kutoka hapa ndio unapata masaa ya Tanzania...
 
...nimependekeza hivyo ikiwa njia mojawapo ya kurahisishia wasikilizaji, ambao nina imani wengi wanalinganisha muda wao popote walipo na muda wa nyumbani, i.e. Tanzania.

... sasa unataka kila mmoja anayetaka kusikiliza kuanzia pande za Australia, Japan, Fiji, Comoro, Ibadakuli, Lushoto nakwingineko awe mzuri wa jiografia au mahesabu ya time zones?! won't it be easier if you stated the time zone outright...

... you know, things are usually cheaper at source...

anyway, again, just an opinion.
 
nimekupata ngoja nitafure basi maharage ya kuhesabia...na niko live naburudika na Bi. Kulthum..mashalah!!!
 
Mkjj, poa tu, mimi navijiti vya kuhesabia nimevitundika kwenye kamba na kuvivaa shingoni!!
 
Ifikapo saa moja EST tutawaletea taarifa ya habari ya siku ya leo.. moja kwa moja.. yote ikiwa ni sehemu ya majaribio.
 
Mkjj, umesema nyimbo za Maulid, mbona mengi ninayoyasikia huko yanahusu habibi na habiba.....kulikoni?!!!!!
 
Kama baada ya nusu saa hivi kuanzia saa 11 EST, tutawaletea matangazo live ya kuadhimisha siku kuu ya kuzaliwa Mtume Mohammed (SAW) ambayo imeadhimishwa na ndugu zetu Waislamu pote duniani.

Featured artist ni yule Gwiji toka Misri, Marehemu Bi. Umm Kulthum!

Join me..

mkuu mkjj

marekebisho tu kdg,ni MTUME MUHAMMAD (sallallahu Alleyhi Wa'sallam),ni vizuri ukatumia maelezo kamili na sio SAW.
samahani kama nimekuKWAZA mkuu.
 
mzee ilikuwa nzuri kabisa sijui nyinyi wenzetu huko Mashariki ya Mbali! Hivi huko nako ni Holiday?
 
mkjj uwe na adabu, nyimbo za maulidi ni matusi kwetu, waislam hatuna nyimbo yuna qaswida, madih na sio nyimbo.

au mpaka tuanze kukuweka kundi moja na wale wadenmark?
 
Kama baada ya nusu saa hivi kuanzia saa 11 EST, tutawaletea matangazo live ya kuadhimisha siku kuu ya kuzaliwa Mtume Mohammed (SAW) ambayo imeadhimishwa na ndugu zetu Waislamu pote duniani.

Featured artist ni yule Gwiji toka Misri, Marehemu Bi. Umm Kulthum!

Join me..

naomba kuhabarishwa mfungo wa ramadan kwa mwaka huu unaanza siku gani yaani tarehe ipi ndiyo sahihi ambayo waislam duniani kote wanafunga swaum Ramadan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom