Nyimbo za kisauz kwenye harusi zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyimbo za kisauz kwenye harusi zetu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by tz1, May 19, 2011.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ni kupoteza asili yetu au ni kwenda na wakati?
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Cultural imperialism at its best
   
 3. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asili yetu ishapotea siku nyingi tu. Utamaduni wa kigeni ushaota mizizi. Nadhani kwa kujibu swali lako kwa maoni yangu watu hupenda nyimbo zile maharusini sababu zinachangamsha na zinavutia kucheza pia zina involve easy steps ku-boogie na zile steps zinapokuwa synchronised kwa kundi zima huvutia kwelikweli.
   
 4. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mwabaluhi, hiyo sio sababu muziki wa south umechangamka kuliko mdundiko, mdumage na msondo? Sidhani. Mbona steps za sangula ya wapogoro na ling'oma ya wanyakyusa ni murua na zinavutia sana.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sio kwenda na wakati bali ujinga wetu!
   
 6. c

  chelenje JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siye wote machogo tu
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mkuu umenena, sisi twaona eti kucheza huo muziki ndio ustaarabu. Kumbe ni uzuzu tu.
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mi naona kiduku inapendeza zaidi
   
 9. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kipya kinyemi. Zitapita.
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Msinikumbushe wadau, kuna harusi kilipigwa kitu cha Mphauphela Amandla, yaani acha tu. Nadhani kuelekea Afrika moja ni heri hizo kuliko ile mibluzi, nyimbo za zouk, mushroom, afrodance pia zinapendeza harusini.
   
 11. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani post yako hapo juu "cultural imperialism at its best" inajibu hili vizuri zaidi. Natamani tungekuwa kama wanaijeria wanavotumia nyimbo za makabila yao katika harusi
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mie nilizipiga marufuku kwenye harusi yangu and i didnt miss anything, tuna watoto wanaimba vizuri sana siku hizi
   
 13. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na bado harusi ilifana I guess. Ni swala la uamuzi tu mkuu. Hongera kwa hilo
   
 14. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni nyimbo gani za kibongo zikipigwa harusini zitapendeza... ukiondoa za pwani?
  ofcoz nazikubali nyimbo za kisauzi ile mbaya
   
 15. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Tunahitaji wengi kama wewe, huu ndio ukombozi, the liberation we need.
   
 16. O

  Ogah JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ......ni ushamba/unyarugusu tu.....!...halafu most of ndugu zangu wachagga wakishamaliza lile li-RINGI lao...........wanaanza kuweka ile mijiziki ya kisauzi.....aargghh
   
 17. L

  Leornado JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tatizo nyimbo za bongo unakuta zile nzuri wameimba verse zenye mimatusi au hazina maana kiasi kwamba unashindwa kuzipiga kwenye sherehe....ila ikiwekwa jaivu ya kwa Mandela watu wanajimwaga na kucheza ilahali hawaelewi inaimbwa nini.

  Bongo fleva za kina madee au Afande Sele ni balaa tupu. Bora umwe Nature na kwaito zake zisizoeleweka.:biggrin1::biggrin1:
   
 18. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  bora tunaweka ringi nyie...
   
 19. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180

  Hapo kwenye red ndio kipi hicho mkuu?
   
 20. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Zile style mi mpaka leo sizijui,
  Nishajaribu sana nikaishia kwenda off-step na wenzangu,
  Si nitampata wapi private trainer wa kunifundisha!!
  We wazijua zile?
   
Loading...