Nyimbo Tatu Bora Za Muda Wote Toka Kwa Diamond Dangote

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,410
3,548
Wale Team Diamond Platinum karibuni katika uzi huu, kwanzia alipoanza gemu ya mziki wa Kizazi kipya na single ya " Nenda Kamwambie " mpaka sasa ana hit song ya " Je Utanipenda " ni nyimbo zipi 3 kali ambazo unazikubali kindakindaki toka kwa Diamond ambaye nathubutu kusema ni msanii bora zaidi kuwahi kutokea katika bongo fleva.

Nyimbo 3 kali zangu ni hizi;
-Number 1
-Mbagala
-Je Utanipenda

Karibuni mtiririke wadau.
 
Dangote yupi unamsemea mkuu?? Yule wa kule mtwara?? Nae siku izi ananyimbo??
 
Wale Team Diamond Platinum karibuni katika uzi huu, kwanzia alipoanza gemu ya mziki wa Kizazi kipya na single ya " Nenda Kamwambie " mpaka sasa ana hit song ya " Je Utanipenda " ni nyimbo zipi 3 kali ambazo unazikubali kindakindaki toka kwa Diamond ambaye nathubutu kusema ni msanii bora zaidi kuwahi kutokea katika bongo fleva.

Nyimbo 3 kali zangu ni hizi;
-Number 1
-Mbagala
-Je Utanipenda

Karibuni mtiririke wadau.
1.Mawazo
hii ndio nifanya nianze kumchukulia seriaz,bwana mdogo!pia,kipindi nyimbo inatoka nilikuwa nina kesi mbili,moja ustawi wa jamii,nyingine mahakama ya mwanzo!uku nadaiwa matunzo ya mtoto kule mke wangu kapigana na hawala!halafu kama haitoshi nikaugua tetekuwanga...kila nilipo kuwa nakaa peke yangu,ni phone za masikioni nausikiliza huu wimbo...video yake ilikuwa hot...
2)My Number
Huu ulinisimika upenzi na ushabiki kwa Diamond,japo Mawazo,ilini convice,ila My Number One uliprove to me that mshikaji yuko serious na kazi
3)Nana
Huu wimbo ulinisaidia kuifuta ile chuki kidogo iliyo kuwemo kwa Diamond baada ya kutemana Wema na kuangukia kwa Zari!mie kama TemaWema wimbo ulinikosha,na hata sasa nikiwaona Tiffa,Zari na Dangote Niko O.k with it!
 
matokeo ni kama ifuatavyo ;~

UKIMWONA imezigaragaza nyimbo zote ikifuatiwa kwa mbali na my no. one pamoja na mbagala bila kusahau inayosumbua soko kwa sasa je utanipenda

hivyo best song ever toka kwa diamond platinumzzz niiiiii
"UKIMWONA"
mbona unatoa majibu haraka haraka?kwani upigaji wa kura umeisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom