Nyimbo nzuri ambazo waimbaji hawajafanyia video au video zake mbaya

Zawadi -Keisha
Nililala naouta- Q chilla na Jaydee
Njoo-chege
Nikipata wangu, Kylin na jay moe
Mvua na Jua
Jirushe- ferooz
 
Mwana-Ali kiba. Idea nzuri akielezea maisha ya mwana wa dar. Ajabu video mwanzo mwisho anakata uno south Africa na mwana haonekani. Mpaka leo natamani kukutana na director wa ile video pamoja na management iliyokaa na kupendekeza video ikashootiwa kwa madiba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom