Nyimbo nzuri ambazo waimbaji hawajafanyia video au video zake mbaya

Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
5,363
2,000
Maua sama - Sisikii

Marlaw - Sorry Sana ( Jamaa hajatoa video hadi leo 😭)

Ommy Dimpoz - Me and you (Video mbovu dunia nzima, OGOPA videos wamekula hela ya jamaa 😭)

Isaack - Acha waseme we ndo wangu girlfriend (Audio kali video 0 😭)

Tundaman ft mat mo - mapenzi na dhiki (video hakuna hadi leo 😭)
 
Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
3,681
2,000
Maua sama - Sisikii

Marlaw - Sorry Sana ( Jamaa hajatoa video hadi leo 😭)

Ommy Dimpoz - Me and you (Video mbovu dunia nzima, OGOPA videos wamekula hela ya jamaa 😭)

Isaack - Acha waseme we ndo wangu girlfriend (Audio kali video 0 😭)

Tundaman ft mat mo - mapenzi na dhiki (video hakuna hadi leo 😭)
Mkuu uko vizuri
 
lbaraka

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
378
250
Namba 5 nakupinga. Audio kali na video kali, kwa kipindi kile ni sahihi kabisa kushoot video kwa quality ile.
Inshu si quality ya video. Inshu ni uhalisia wa video kuendana na audio. Video vixen aliecheza mule hana wala hafanani na hilo figure 8 linalosifiwa mule
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom