Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh!!watu tunatofautiana sana.1.Muziki-Darasa
2.Muziki-Darasa
3.Muziki-Darasa
4.Too much+-Darasa
5.Moyo machine(berenado Paulo)
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2016 ni zipi nyimbo 5 bora zilitolewa mwaka huu?
Kwangu mimi
1.Aje by Alikiba
2.Moyo mashine by Ben pol
3.Muziki by Darasa
4.Kidogo by Diamond
5.Kamatia by Navy kenzo
ngoja ntafute kwanza izi nyimbo za nash....songa namsikiliza sana.chukua au utupe, ushtuke ila ukumbuke kuwa huu ni ushauri wa bure.1.tabia-nash mc
2.naandika -Nash mc
3.mitihani-nash mc
4.maalim ponda-nash.
5.ushauri Wa bure-songa
duuh kitu tabia ni nouma sana1.tabia-nash mc
2.naandika -Nash mc
3.mitihani-nash mc
4.maalim ponda-nash.
5.ushauri Wa bure-songa
1. CCM mbele kwa mbele-KOmbaTukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2016 ni zipi nyimbo 5 bora zilitolewa mwaka huu?
Kwangu mimi
1.Aje by Alikiba
2.Moyo mashine by Ben pol
3.Muziki by Darasa
4.Kidogo by Diamond
5.Kamatia by Navy kenzo