Nyimbo gani utamchagulia x wako siku ya harusi yako?

Mi wangu nautungia hapa:

Ndiyo kweli leo nimeoa,
Mara mojamoja waweza kuja onja,
Ila Chunga usijechonga mzinga,
Nyuki mie kwako nafata nta..mzinga wangu u kwa huyu!!!
 
Harusi yangu mimi, ex anahusikaje?
Kama bado unamkumbuka ex kwenye siku kama harusi yako then hujawa over him. Bora mrudishane tu maana bado unamwaza sana!
 
Harusi yangu mimi, ex anahusikaje?
Kama bado unamkumbuka ex kwenye siku kama harusi yako then hujawa over him. Bora mrudishane tu maana bado unamwaza sana!
chukulia ni harus yako af x wako yupo na umeombwa umuombee wimbo wa kimbea!
 
Back
Top Bottom