Nyimbo gani utamchagulia x wako siku ya harusi yako?

Nitampatie Keri Hilson ft Neyo & Kanye West knock down..

Sometimes love... comes..down... when knock you down, Just get'p when love knock down, knock you down.

Near by Ivumwe high school Mbeya.
 
YAni harusi yangu, halafu awe na dedication? Kwa lipi yaani? Nitawachagulia wimbo walimu wangu wa praimare kuliko ex, hana nafasi kwenye siku yangu. He is the past.
 
YAni harusi yangu, halafu awe na dedication? Kwa lipi yaani? Nitawachagulia wimbo walimu wangu wa praimare kuliko ex, hana nafasi kwenye siku yangu. He is the past.

X ndo nani? Au mtu aliyekupiga vyombo zamani
 
Nitamchagulia wimbo mzuri utakaokumbushia mambo yetu kabla hatujabwagana ili impe hisia kuwa hataweza kuyapata tena
 
Nitamchagulie ile nyimbo ya chadema yenye kibwagizo cha peoples power.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom