Nyimbo gani nzuri za kusikiliza ukiwa na maumivu ya kuachwa?

Kuachwa-Christian Bella
Mwanamke mjinga huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe_Hii sijui kaimba nani
Hapa piga ua Talaka utatoa_Hawa siju msondo
Ukimaliza hizo hapo utakuwa kama umeolewa upya!
 
Back
Top Bottom