Nyimbo bora ya kampeni 2015

abaa4all

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
313
290
Habar zenu wadau
Leo nmejikumbusha yaliyotokea kwenye uchaguzi kwa hakika nyimbo bora zaid kwenye kampeni ni ya msanii malaika aliyomuimbia magufuli.
Naamin wengi hamjaisikia ila nataman uisikilize then ndio uje kukoment hapa.
 
Hili ulilopost lina umuhimu gani kwa watanzania masikini wanaohitaji Elimu,Maendeleo n.k?
 
Back
Top Bottom