low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,321
- 1,487
Ukiona mwanaume yuko busy kumdiss mtu ambaye yupo busy na mishe zake anakuwa Sio Mzima.
Ww konde gangKilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano,
Bora zaidi
1. Anajikosha. - Harmonize
2. Mama Amina - Marioo
3. Sadakalawe harmonize
4. Kamseleleko - Mbosso
Mbaya Zaidi
1. IYo diamond ft vocalist
2. amapiano - Baba Levo
3. Zezela nyoko - Baba Levo ft rayvanny
Ukweli unauma, nyimbo kuwa na views wachache si kwamba mbaya.
Embu sema sasa
HaterKilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano,
Bora zaidi
1. Anajikosha. - Harmonize
2. Mama Amina - Marioo
3. Sadakalawe harmonize
4. Kamseleleko - Mbosso
Mbaya Zaidi
1. IYo diamond ft vocalist
2. amapiano - Baba Levo
3. Zezela nyoko - Baba Levo ft rayvanny
Ukweli unauma, nyimbo kuwa na views wachache si kwamba mbaya.
Embu sema sasa
huyu dada hatoagi nyimbo anatoa hitAmber lulu hawezi kuwa anywhere near to be a proper music artist lakini ile amapiano yake ya una shingapi kali sana pia.
kweli bhanaa,haya tuelezee!!Hiyo amapiano ni nini ?
Nikilewa sitaki nigasiweZitaimbwa amapiano zote ila ile ya man'dakiwe ni balaaaaaa
Amber lulu ni hit maker wa level yake!Amber lulu hawezi kuwa anywhere near to be a proper music artist lakini ile amapiano yake ya una shingapi kali sana pia.
Hamtaki kuambiwa ukweli'View attachment 1857447
Lengo ni kwa huyu.
Wewe hujawahi mdisi mwanaume yoyote yule ukiacha hawa wanaoimba mziki toka upate ufahamuUkiona mwanaume yuko busy kumdiss mtu ambaye yupo busy na mishe zake anakuwa Sio Mzima
Inaitwa watakomahuyu dada hatoagi nyimbo anatoa hit
kuna club banger yake fulani yuko na country boy ni kali sana
Zitaimbwa amapiano zote ila ile ya man'dakiwe ni balaaaaaa
Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano,
Bora zaidi
1. Anajikosha. - Harmonize
2. Mama Amina - Marioo
3. Sadakalawe harmonize
4. Kamseleleko - Mbosso
Mbaya Zaidi
1. IYo diamond ft vocalist
2. amapiano - Baba Levo
3. Zezela nyoko - Baba Levo ft rayvanny
Ukweli unauma, nyimbo kuwa na views wachache si kwamba mbaya.
Embu sema sasa
Nime pitia comment zoote sijaona ilipo tajwa
mapopo ya damian soul ndo tatizo la kukariri wasanii wale wale wa kila siku
Amber lulu hawezi kuwa anywhere near to be a proper music artist lakini ile amapiano yake ya una shingapi kali sana pia.
Amapiano kali zaidi ni Mapopo ya Damian Soul na Wangapi ya Ibrah Nation...
Asee shukrani.. nilisha wambiaga watu hivi lakin walinibisha hatari , watu wanashindwa kutofautisha kati ya wimbo mzuri na mapenzi..Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano,
Bora zaidi
1. Anajikosha. - Harmonize
2. Mama Amina - Marioo
3. Sadakalawe harmonize
4. Kamseleleko - Mbosso
Mbaya Zaidi
1. IYo diamond ft vocalist
2. amapiano - Baba Levo
3. Zezela nyoko - Baba Levo ft rayvanny
Ukweli unauma, nyimbo kuwa na views wachache si kwamba mbaya.
Embu sema sasa