Nyimbo 20 bora za Mwana Falsafa za muda wote

ungeniambia F.a ft Stara
kiza kinapo tanda
huyu F.a wa kitambo ni noma sana ngoma ake za before 2010 zoote uwa ni shida
 
leo naomba nijaribu kuwaletea nyimbo 20 bora kabisaa za za mtoto wa mwanamuziki nguli wa zamani mzee mwinjuma aka mc mbondei
Ambazo hazitakuja kukaa kuchuja zingne ni za zamani ila kwa ubora wake zingetoka kipindi hiki zingefanya vema sana

1.ingekuwa vipi ft jaymoe
2.unanisikiliza mchumba
3.mabinti
4.wanapendana ft dully sykes
5.aminia ft ngwea and inspector haroun
6.wakati umelala ft mangustino,jos mtambo & immam abbas
7.haina ufagio
8.mtumishi ft mike T & banana zorro
9.unanitega ft pauline zongo
10.hawajui ft jay dee
11.ukinitazama ft TID
12.siku hazifanani ft zahir zorro
13.siendi club ft jay moe and unique sisters
14.bado nipo nipo
15.sitoi hela
16.mfalme ft g nako
17.kiboko yangu ft alikiba
18.verse moja ft dudubaya
19.nazeeka sasa
20.sitoamka ft jaydee
weka na link tafadhari
 
Kwangu Mimi kali 10 za FA

1. Sitoamka
2. Mabinti
3. Mfalme
4. Alikufa kwa ngoma
5. Unanitega
6. Asubuhi
7. Binamu
8. Tuliza bali
9. Usiache kuongea
10. Aminia



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leo naomba nijaribu kuwaletea nyimbo 20 bora kabisaa za za mtoto wa mwanamuziki nguli wa zamani mzee mwinjuma aka mc mbondei
Ambazo hazitakuja kukaa kuchuja zingne ni za zamani ila kwa ubora wake zingetoka kipindi hiki zingefanya vema sana

1.ingekuwa vipi ft jaymoe
2.unanisikiliza mchumba
3.mabinti
4.wanapendana ft dully sykes
5.aminia ft ngwea and inspector haroun
6.wakati umelala ft mangustino,jos mtambo & immam abbas
7.haina ufagio
8.mtumishi ft mike T & banana zorro
9.unanitega ft pauline zongo
10.hawajui ft jay dee
11.ukinitazama ft TID
12.siku hazifanani ft zahir zorro
13.siendi club ft jay moe and unique sisters
14.bado nipo nipo
15.sitoi hela
16.mfalme ft g nako
17.kiboko yangu ft alikiba
18.verse moja ft dudubaya
19.nazeeka sasa
20.sitoamka ft jaydee
Alikufa kwa Ngoma ft Jide Komandoo
Unaniteg Ft Noorah&Pauline Zongo (Na kisauti cha Barbra Hassan wa PB)
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom