Nyigu kukojoa kwenye jicho

Status
Not open for further replies.

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
806
805
Mke wangu alikuwa anaangalia nyigu kwenye dari. Ghafla akakojolewa na mmojawapo. Jicho limewasha sana. Hatujaweka chochote ingawa anaanza kupata ahueni.

Naomba ushauri wenu iwapo kuna la kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aoshe na maji safi na salama (maji ni dawa)
Aoshe mara nyingi baada ya muda kidogo tu maumivu yatapoa

Tahadhari!
Mimi sio daktari ama mtaalamu wa afya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom