Nyie wanawake acheni huu uongo basi

na kwanini uniulize hayo maswali? Coz haiingii akilin binti from no where aanze kukupa hayo majibu umeuliza swali ukajibiwa kama wajua majibu maswal ya nn??

well said mkuu, maswali ya nini kama ukimuona tu unajua ashatembea na 10 katolewa bikra na miaka 6
 
see wanawake upenda uwongo ndio maana ata sie wanaume tukiwa twawatongoza full uwongo....its their nature so go with the flow....cha msingi breki ya kwanza pumb*u
 
Im too old kuuliza au kuulizwa mimi kwangu yeye wngapi!! DOES IT MATTER REALY!!!! KWANI ZINAACHA MIHURI?!!!
 
Astaghafulilah wewe mtoto .. Sasa wewe sina hata neno linaloweza kukutosheleza manake lol. Just shocked a big
Saint Ivuga mimi kuna mtu namjua kwa sasa ameshatembea na wanawake zaidi ya 150 unashtuka 50 huyo namba ndogo sana
 
Last edited by a moderator:
Astaghafulilah wewe mtoto .. Sasa wewe sina hata neno linaloweza kukutosheleza manake lol. Just shocked a big
Saint Ivuga mimi kuna mtu namjua kwa sasa ameshatembea na wanawake zaidi ya 150 unashtuka 50 huyo namba ndogo sana we tuymbukiza kitwangio ukikuta mnato endelea kugonga hayo maswali haifai
 
Last edited by a moderator:
above 35yrs old hakuna kutongoza,nikumwambia tukutane NAMNANI hotel ,akikubali basi unakula mzigo!
 
sema na ya kwenu mnayotudanganyaga!!!
Wanawake wake wengi ukikutana nao watakudanganya hivi.

1. Yani mimi wewe ni mwamme wa pili kutoka nae
2. Yani mimi mpaka namaliza form four nilikuwa sijawahi ku do
3. Yani huyu mtu nilie zaa nae nili do nae mara moja tu tena alifanya kunibaka
4. Yani mimi mwanamme aliyenitoa bikira alifanya kunikamata kwa nguvu.

Huu uongo umekuwa ni common na huwa mnachoreka tu msiwe mnawaambia wanaume. Unakuta mwanamke ana miaka 42 halafu anajifanya wewe ndio mwanamme wake wa pili.

USHAURI TAFUTENI UONGO MWENGINE HUU HUWA MNAJICHORA!!!
 
na kwanini uniulize hayo maswali? Coz haiingii akilin binti from no where aanze kukupa hayo majibu umeuliza swali ukajibiwa kama wajua majibu maswal ya nn??

umenena........ maswali ya nini hata pale utakapoelezwa ukweli bado unaweza usiamini kwa vile wewe unakuwa na majibu yako yakufikirika bora unapoanzisha mahusiano usitake kujua sana mambo ya alikuwa na wangapi mara naniluuu ilivunjwa na umri gani hayasaidi katika mahusiano sana sana utakuwa unaanzisha gubu
 
kazi ipo! kwani kuna watu bado wanaulizana hayo maswali??? aiseeeee long way to go kwenye relationships, lol
 
Back
Top Bottom