Nyie wanawake acheni huu uongo basi

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Wanawake wake wengi ukikutana nao watakudanganya hivi.

1. Yani mimi wewe ni mwamme wa pili kutoka nae
2. Yani mimi mpaka namaliza form four nilikuwa sijawahi ku do
3. Yani huyu mtu nilie zaa nae nili do nae mara moja tu tena alifanya kunibaka
4. Yani mimi mwanamme aliyenitoa bikira alifanya kunikamata kwa nguvu.

Huu uongo umekuwa ni common na huwa mnachoreka tu msiwe mnawaambia wanaume. Unakuta mwanamke ana miaka 42 halafu anajifanya wewe ndio mwanamme wake wa pili.

USHAURI TAFUTENI UONGO MWENGINE HUU HUWA MNAJICHORA!!!
 
Heri uongo mtamu kuliko ukweli mchungu kwenye hii anga,hivi wote tukaamua kuambiana ukweli patakalika? Wote tunadanganya ila tunachoomba ukweli usigundulike tu
 
Wewe una miaka mingapi?
wewe miaka yangu ya nini?
Ila wewe una
42..kwenda juu?.. Oo hell no. Ina maana wewe unayewatongoza hao wa zaidi ya 42 umewazidi sasa una miaka hiyo na bado tu hujaseto na mke wako? Wtf? Utakufa kwa presha ndauka original
 
Wanawake wake wengi ukikutana nao watakudanganya hivi.

1. Yani mimi wewe ni mwamme wa pili kutoka nae
2. Yani mimi mpaka namaliza form four nilikuwa sijawahi ku do
3. Yani huyu mtu nilie zaa nae nili do nae mara moja tu tena alifanya kunibaka
4. Yani mimi mwanamme aliyenitoa bikira alifanya kunikamata kwa nguvu.

Huu uongo umekuwa ni common na huwa mnachoreka tu msiwe mnawaambia wanaume. Unakuta mwanamke ana miaka 42 halafu anajifanya wewe ndio mwanamme wake wa pili.

USHAURI TAFUTENI UONGO MWENGINE HUU HUWA MNAJICHORA!!!

Hahahaha umenichana mbavu duh hizi ndo swaga zimejaa kitaa, baada ya muda unagundua kuwa da list iz endless
 
Back
Top Bottom