Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,779
Baada ya kua wenyewe kwa nyakati tofauti kuniletea malalamiko yenu, nimelazimika nimichaneni live tu!
Haina jinsi , kwani wenyewe ma'Bidada wamedai wakiwaambia huko mlipo mwajitoa fahamu na kisha hamtekelezi.
Wadada ama Mashori or whatever (waite upendavyo)
miongoni mwao wakiwemo Ma'aunt waandamizi kama sio wafawidhi hapa Jeiefu , wanadai mnawatesa na kuwanyima ladha asilia mnapokua mnapeana TENDO TAKATIFU !
Kero lao kubwa wanasema hamtaki ama kwa maksudi au ni kwa uzembe tu kukata MAKUCHA ya vidole vyenu vya mikononi .
Kwamba mnapo visit maeneo ya BIG G SPORTS CLUB na mikucha ka'reki ya kuvutia majani , kwao starehe hugeuka nakua karaha!
Wanaume wenzangu hii ni msg kwenu ya maboresho , na wala si ya dhalilisho hebu tubadilike.
Kucha tu? Jamani hadi tunangwe?
Nawasilisha.