Nyie Tigo mna mataizo gani na SMS zenu?

hata kwangu leo sms moja imejirudia si chini ya mara kumi na tano. waache huu uhayawani bwana, shit!!
 
Yaaan hao tgo leo wamenitibua salio limekata wananitumia sms moja hio hio zaid ya mara 70 na nmeamua kuwapgia wanasema et mpaka niende tgo shop c wz huuu na subir ntawapelekea line yao soon
 
Yaani massage majo mnairudia zaidi ya mara kumi mtu akinitumia mkoje mbona za Tigopesa hamkosei jirekebisheni bana

Aisee Tigo noma mzee, mimi mchepuko alituma message nikasoma alafu nikafuta, kila baada ya nusu message ile ile inaingia kwa muda wa siku tatu mfululizo nilijuta
 
Faini ya mil 25 waliyopigwa ni ndogo sana, kulinganisha na ufedhuli huu
 
Yaani massage majo mnairudia zaidi ya mara kumi mtu akinitumia mkoje mbona za Tigopesa hamkosei jirekebisheni bana
Nilifikiri ni kwangu tu. Nina sms mbili zinajirudia sasa ni mara kumi kila moja imejirudia ila zinatoka namba ya VODA....
 
Faini ya mil 25 waliyopigwa ni ndogo sana, kulinganisha na ufedhuli huu

Kweli kabisa hiyo faini ni ndogo mno..walitakiwa watozwe kama 80billioni.ndio mtandao wenye kero za kipumbavu kuliko yote then hawazifanyii kazi kikamilifu.
 
Me SMS ziliingia zaidi ya hamsini hadi kitochi kikatoa taarifa kuwa memory full. Baada ya kuzifuta zikaendelea tu kuingia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom