nyie tigo kwanini mnatumia slogan ya "mia" kimya kimya?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nyie tigo kwanini mnatumia slogan ya "mia" kimya kimya??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Nov 18, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  yaani nyie mumeona "mia" ndo neno la kuendesha biashara zenu?hakuna maneno mengine?mumesoma terms of use ya hilo neno "mia"?kwanini hamjanishirikisha?mi nashangaa mumeikomalia.kila kitu mia,mala ooh tuma "mia",sijui fanya nini "mia"nyie mnataka kula tu bila kuliwa?huo sio mpango mzima.kama vipi nakinukisha hadi hapo kwenu mtaa wa goba.mia
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hapa naona ni akiri kwa akiri ina maana.......................!
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  hiii tigo inauswaje inauswaje?
  Ni mia tano,
  ongea nao mpaka mwisho ni shilingi MIA.Nalog off
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wamedesa mia.
   
Loading...