Nyie Tanesco Mwanza kanda ya Nyakato ,Ilemela!!

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Hivi nyie tanesco wa mwanza kutoka hicho kituo chenu cha Nyakato mnatutafuta nini sie wananchi wa buswelu,yani Leo mnafanya kazi ya kukata umeme na kuwasha
Yani kama mnachezea switch hivi
Sasa mkiunguza bufa langu walahi mtalipa,tangu Jana Huduma ya umeme huku buswelu imekua ya ovyo sana na sidhani kama mmetoa taarifa chanzo cha tatizo
Mnakera Mnaboa
 
Bora ya nyie wenzetu imeanza jana sisi huku mtwara ni majangaa mwezi 5 xaivi hapa kwenyewe nnavo2ma coment hii toka asubuhi hakuna umeme alikuja waziri wa nishati akatumbua mtu na akatoa uhakikisho wa umeme kuwepo hasa mjini lakin mambo yako vilevilee yan kama juzi tumekesha 26 hours bila umeme
 
Back
Top Bottom