Nyie si wenzetu msidanganyike na usemi wa CCM tuna taratibu zetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyie si wenzetu msidanganyike na usemi wa CCM tuna taratibu zetu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Apr 12, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Napenda kuwakumbusha kitu kimoja hapa wote wale mlioachwa katika kusafisha chama wapo walioachwa kwa kuweka uwanja sawa!! ila kuna ambao mmeachwa kwakuona nyie siyo wenzao kwani mnachukia ufisadi!!Hivyo msome alama za nyakati!!Ila kwa wale walioachwa wanajua fikawameachwa kwa sababu gani na hawajutii !!kwakuwa walilitambua hilo mapema!!Nikwamba nikuweka mambo shwari kwenye chama! lakini kwani shughuli zao kwenye chama zitaendelea kama kawaida ila kati yenu kuna walioachwa kwa makusudi kabisa kwamba huyu tumtoe kwenye familia yetu wakati wakupanga mambo yetu asiwepo!!Poleni Mkisoma alama za nyakati na mkalitambua hilo Mtaepuka fedhea namsijiridhishe na kauli hii"CCM TUNA TARATIBU ZETU ZAKUENDESHA MAMBO YETU NDANI YA CHAMA"Mtaishia pabaya na Aibu tele!!Na wala CCM siyo baba yenu Mwalimu Nyerere alikwisha sema!
   
Loading...