Nyie mnaopenda kusema eti mnatulisha, hebu kujeni kidogo

Kwanini unapenda kushindana mkuu? Bila kulumbana na waTz nafsi yako haina amani.

Kuhusu kuwalisha hilo liko wazi, hakuna anayepinga ndio mana mpaka sasa mmeshindwa kuwazuia madereva wetu wasiingie nchini mwenu, ukuona moja ya kiongozi wenu alijipendekeza kwetu,eti sisi ni "ndugu zenu"
 
Hivi nyinyi wenye ligi za namna hii huwa mnafikiria kutumia nini? Si bora hata huo muda ukashika gazeti ukasoma tu
 
Tony254,
Acre 2000 ndiyo unakuja kupiga kelele humu. Mimi pekee yangu hapa tz nimelima ekari 150.
Kwa mahindi ekari moja kama ikilimwa kitaalamu sana unapata gunia 30-40. Gunia moja ni sawa na kilo 100

Kwa kila ekari utapata tani 3-4. Sasa hizo ekari 2000 hebu jicheke kwanza mwenyewe 🤣 🤣
 
Do you have enough food as we are comments on this thread?

Waswahili wana msemo wao kwamba "never insult the crocodile before crossing the river."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubinywa siku moja tu Rais wako kapiga simu anaomba suluhu
Unatuletea bustani hapa
 
Middle income haiwezilishwa na least developed country. Tunaendelea kuboresha sector yetu ya ukulima. Tazama video
joto la jiwe ulikuwa unalialia sana kuhusu Galana kulalu sasa tazama video.

1) Huu mradi ukikamilika utapunguza sana utegemezi wa Kenya kwa Tanzania kuhusu mahindi

2)Kumbuka Kenya hutegemea Tanzania sio kwa mahindi pekee, bali pia kwa mchele by 80%, legumes by 52%, Matunda, Onions, Banana na vyakula vingine ambavyo havizalishwi ktk huu mradi.

Bado Kenya itaendelea kuitegemea Tanzania kwa chakula hata baada ya huu mradi kukamilika, ila kwa mahindi, mtapunguza utegemezi kama sio kumaliza kabisa.
 
Asante
 
Kubinywa siku moja tu Rais wako kapiga simu anaomba suluhu
Unatuletea bustani hapa
Yuko na shamba kubwa Sana la Ngano huko Tz, hapigi simu kwa suluhu zetu Bali ni za kwake.
1) Huu mradi ukikamilika utapunguza sana utegemezi wa Kenya kwa Tanzania kuhusu mahindi

2)Kumbuka Kenya hutegemea Tanzania sio kwa mahindi pekee, bali pia kwa mchele by 80%, legumes by 52%, Matunda, Onions, Banana na vyakula vingine ambavyo havizalishwi ktk huu mradi.

Bado Kenya itaendelea kuitegemea Tanzania kwa chakula hata baada ya huu mradi kukamilika, ila kwa mahindi, mtapunguza utegemezi kama sio kumaliza kabisa.
Si eti tunategemea Tz kwa chakula bali ni kuwa tutanunua kwa hela zetu hivyo basi ni sawa kusema kuwa Wa Tz wanategemea Kenya kwa Mapato.
 
Tony254,
Acre 2000 ndiyo unakuja kupiga kelele humu. Mimi pekee yangu hapa tz nimelima ekari 150.
Kwa mahindi ekari moja kama ikilimwa kitaalamu sana unapata gunia 30-40. Gunia moja ni sawa na kilo 100

Kwa kila ekari utapata tani 3-4. Sasa hizo ekari 2000 hebu jicheke kwanza mwenyewe
Maximum 4×2000= Yani 8000 Kenya unahitaji mamillion ya tani
 
Yuko na shamba kubwa Sana la Ngano huko Tz...hapigi simu kwa suluhu zetu Bali ni za kwake.

Si eti tunategemea Tz kwa chakula bali ni kuwa tutanunua kwa hela zetu hivyo basi ni sawa kusema kuwa Wa Tz wanategemea Kenya kwa Mapato.
Siku zote mwenye mali ndio ana nguvu ,hata ukisikia Iran kawekewa vikwazo vya silaha hapewi bure Ila amezuiwa kununua na pesa anazo
 
Back
Top Bottom