Nyie mmefuatiliwa tangu mwaka 2016 na sasa mmenaswa, hamtaweza kuchomoka safari hii

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Mwalimu wangu wa saikoloji aliwahi kuniambia kwamba ukitaka kujua tabia ya mtu yoyote yule, ni awe na pesa au madaraka.

"Money and Power reveal the hidden characters of men " Tabia za hawa watu baada ya kupata madaraka makubwa mmeziona .

Wanajiona kama Dunia yote wameikumbatia na hakuna yoyote wa kuwafanya chochote.

Meno nje naye alikuwa Kama bwana yule alivyo leo, aliua maelfu ya watu kadri alivyoweza, wale wale waliokuwa wakimpigia saluti wamemgeuka na kumpiga pingu, Safari ya ICC imeiva.

Na nyie mmefatiliwa tangu 2016,na sasa mmenaswa, na hamtaweza kuchomoka safari hii.

Huu mwaka ndo kiboko yenu, Bangili zinawahusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sudan's former president Omar al-Bashir and other Sudanese wanted by the International Criminal Court (ICC) will be handed over to face war crimes charges at The Hague. Bashir faces five counts of crimes against humanity and two counts of war .
1581583111815.png
1581583132303.png

Baada ya Kunaswa sasa hali ipo hivi
1581583212673.png
1581583403112.png

Kazi ya Mabeberu kwa Mujibu wa Wazalendo.
 
Attachments

  • 1581583240679.png
    1581583240679.png
    31.8 KB · Views: 1
Wamekusikia ingawa watasema bado wapo huru
Mwalimu wangu wa saikoloji aliwahi kuniambia kwamba ukitaka kujua tabia ya mtu yoyote yule, ni awe na pesa au madaraka.

"Money and Power reveal the hidden characters of men " Tabia za hawa watu baada ya kupata madaraka makubwa mmeziona .

Wanajiona kama Dunia yote wameikumbatia na hakuna yoyote wa kuwafanya chochote.

Meno nje naye alikuwa Kama bwana yule alivyo leo, aliua maelfu ya watu kadri alivyoweza, wale wale waliokuwa wakimpigia saluti wamemgeuka na kumpiga pingu, Safari ya ICC imeiva.

Na nyie mmefatiliwa tangu 2016,na sasa mmenaswa, na hamtaweza kuchomoka safari hii.

Huu mwaka ndo kiboko yenu, Bangili zinawahusu.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Kwa Sudan sawa, Ila kwa hapa kwetu hizo ni ndoto za mchana. Endelea tu kujifariji.
 
Back
Top Bottom