Nyie chadema embu jibuni tifu la zitto na mbowe limeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyie chadema embu jibuni tifu la zitto na mbowe limeishia wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipanga mlakuku, Jul 3, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nyie watu wa CDM ooh chama chenu kinakufa soon , hivi lile bifu kati ya Mbowe na Zitto limeishia wapi? duu maana najua mtiti bado upo wanachekeana kichina tu ila moyoni mmh! aisee hivi madai ya Zitto yalikuwa nini vile?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kwanza toa kibanzi kwenye jicho lako. Gogoro la Mapacha watatu kwenu huko magamba mme li solve vipi? JK anawakimbia kila siku kwa kisingizio cha ziara za nje, akisikia RACHEL (Rostam, Chenge na Lowassa) jamaa anahisi ku rest in peace so kazi za membe anafanya yeye!!
  Zito na Mbowe hawana mgogoro nyie magamba ndo mlipandikiza
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  zimebakia siku nne kwa NAPE kutema cheche
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Asante mkuu kwa bonge la jibu! Hawezi kuwa na nyimbo tena, labda vurugu tu.
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  limeishia kuisha!
   
 6. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  limeishia kwenye mapengo yako.
   
 7. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,798
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  kwani yeye kakwambia yuko kambi ya ccm?
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tena nimesikia leo anazungumza na waandishi wa habari, labda atatoa hint za nini kitafanyika kwa mapacha watatu
   
Loading...