Nyie Bata halotel shida nini

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,182
56,770
Vifurushi mmepunguza ndio lakini hii spidi ya internet mnaona ipo sahihi..??
Ifike hatua Kama hamtaki mseme tuhamie mitandao myengine hampo pekeyenu msitukwaze achieni hiyo spidi Kama mwanzo mnakuwa Kama mnatusakama vifurushi mtuuzie halafu spidi mtupangie bata kabisa
 
hawa wapuuzi kweli kilichotufanya tujiunge nao ni internety a bei nafuu na yenye speeed ikitokea mitandao mingine ikalegeza na ikawa na speed wataisoma
 
Vifurushi mmepunguza ndio lakini hii spidi ya internet mnaona ipo sahihi..??
Ifike hatua Kama hamtaki mseme tuhamie mitandao myengine hampo pekeyenu msitukwaze achieni hiyo spidi Kama mwanzo mnakuwa Kama mnatusakama vifurushi mtuuzie halafu spidi mtupangie bata kabisa
Vifurushi wameshusha? Maana nimeangalia mda flani menyu ipo kama zamani...
 
Kama wameruhusiwa kufanyahivyo sisi ni kina nani hadi tuwazuie,sisi tukisema tukisikia imeisha, siku zote samaki akilia sana machozi huishia baharini na kuchanganyika na maji,watu kadri wanavyozidi kulalamika ndivyo hali inazidi kuwa mbaya,juzi hapa tuliambiwa hali inarudi kama kawaida lakini baada ya kuhoji sana tukaambiwa baada ya siku nne mambo yanakuwa sawa,lakini baada ya hizo siku nne ndo wameharibu tena, halotel jiandaeni muda si mrefu nawatumia laini yenu mkaiweke urembo.
 
Mbona zamani walikuwa wanatoa vifurushi hivyo na spidi ipo vizuri sahivi Kama mitambo imeshikwa na vibibi! Mkuu inakera maana hata youtube siwezi angalia! Wakati halotel ndo ilikuwa spidi naiaminia! Nimeshindwa hata kuangalia hotuba ya rais!
 
Ndugu mteja Asante kwa kuchagua halotel ukiona haikufai hamia voda
 
Vifurushi mmepunguza ndio lakini hii spidi ya internet mnaona ipo sahihi..??
Ifike hatua Kama hamtaki mseme tuhamie mitandao myengine hampo pekeyenu msitukwaze achieni hiyo spidi Kama mwanzo mnakuwa Kama mnatusakama vifurushi mtuuzie halafu spidi mtupangie bata kabisa
internet yao imekua slow alafu inakuja na kukata, ifike wakati watanzania tulihame hili shirika haloteli wanaringa sana tangu wasifiwe internet yao iko poa saivi wamekua vigeu vigeu
 
Mtandao unautafuta mwenyewe. Airtel ukimaliza hizo G2 utakuwa Freemason.
Hapa network yake nikiweka 3G unapotea ila nikiweka 2G unarudi.
Bando lako la GB2 kwa Tsh 2000 limerudi. Piga *149*99#, chagua 5(Intaneti), chagua 1(Smatika) kufurahia bando lako ulipendalo.

😇
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom