Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,956
- 95,353
Akitulize tu, mume wamtu ni mume wa mtu tu, angekuwa hamuhitaji mkewe angeshamuacha. Ila kwa huyu bidada anataka tu mtoto, mtie tu moyo mwenzio adanganyike na picha za nyumba na gari. Atakuwa double mom sio muda mrefu
Hiyo channel ya kueleweka unayoisubiri ndiyo baby daddy number 2 au? Na inaeleweka kwa vigezo gani (samahani sana kama nimekukwaza, nimetamani tu kujua hilo)
Hiyo channel ya kueleweka unayoisubiri ndiyo baby daddy number 2 au? Na inaeleweka kwa vigezo gani (samahani sana kama nimekukwaza, nimetamani tu kujua hilo)
Nakuelewa sana.
Nami napitia same situation kuzaa home na mtoto dah basi tu. Kuna vijineno hivi mwanzon viliniumiza nikawa kauzu flani i dont care imenisaidia sana.
Now kuhusu huyo mbaba muandikishane mapema nyumba iwe mbali na kwenu. Abadilishe hati na kadi ya gari isome majina yako akupe ww ushike na ww unachukua unaweka nyumban kwenu kwenye vitu vyako. Home aga umepata tenda ya kazi na unapewa nyumba ya kuishi. Mzee baba unamwambia kabisa kama ni 100,000 unatuma nyumbani kwa wazee. Ukiwa na pesa no 1 will bother u nani baba wa mtoto.
Then hio feeling unataka kuzaa ipo sana my daughter she is 6yrz nawewezeka tumbo la taka mtto ila najizuia nipate channel inayoeleweka