Ether
Senior Member
- Mar 16, 2008
- 137
- 37
Du! Kama tulikuwa na mtu mwenye vision kama za huyu mzee na sasa tunarudi nyuma basi sisi ni worse kuliko waliopigana vita na waliokumbwa na njaa.. Sasa hivi ni ushabiki wa siasa bila kuangalia maslahi ya wananchi. inasikitisha kuona watu wanaweka mbele siasa za kichama na kutoangalia matatizo ya kweli yanayomsumbua mwananchi. Tutamkumbuka sana Mwalimu.
[video=youtube_share;6cAxan2Vp18]http://youtu.be/6cAxan2Vp18[/video]
[video=youtube_share;CarLW4n8qf4]http://youtu.be/CarLW4n8qf4[/video]
[video=youtube_share;6cAxan2Vp18]http://youtu.be/6cAxan2Vp18[/video]
[video=youtube_share;CarLW4n8qf4]http://youtu.be/CarLW4n8qf4[/video]