Nyerere: Walimu muwafundishe wanafunzi kuwa Sturborn,wasikubali kila kitu kwa urahisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere: Walimu muwafundishe wanafunzi kuwa Sturborn,wasikubali kila kitu kwa urahisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jasho la Damu, Apr 4, 2011.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Napenda kuwapongeza Watz wote wanaoelekea kutimiza miaka 47 ya jamhuri ya muungano ya Tanzania ifikapo April 4, 2011.
  Mwl JK Nyerere alishawahi kuwaambia walimu wawafundishe wanafunzi kuwa sturbon wasiwe wanakubali tu kirahisi. Mwl Jk nyerere alitoa rai hiyo alipokuwa anawatuliza wanafunzi UDSM waliokuwa kwenye mgomo. Hali ikoje kwa wanafunzi wa leo.
   
 2. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Inaendelea
  Imekuwa ni kawaida kwa sasa miongoni mwa wanafunzi wengi wa Tanzania wamekuwa wakitumia njia za migomo, maandamano na vurugu katika kuonyesha hisia zao kwa yale wasiyoyapenda. Tulizoea kuona migomo na maandamano miongoni mwa wanafunzi wa Taasisi ya elimu ya juu lkn sasa wigo huo umetanuka mpaka kwa wanafunz wa Shule za msingi.
   
 3. R

  Rangi 2 Senior Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Historia gani ya Tanzania inayofundisha kuwa Muungano ulikuwa tarehe 04 Aprili? Ina maana huu wa 26.04 ni fake?
   
 4. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Typing error kaka ni April 26 not April 4
   
Loading...