Nyerere vs Kenyatta

Sahiba

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
303
1
Wanajamii with all the respect hebu tuchukue nafasi hii kuwajadili viongozi wetu wawili mahiri katika Afrika yetu ya Mashariki waliochukua mikondo miwili iliyopinzana. Mafanikio yao, makosa yao pamoja na hatua nchi hizi mbili zilizopiga.

Tukianza na elimu, Kenyatta aliwacha kiingereza kuwa ni lugha ya kufundishia na Mwalimu alikifanya kama ni somo. Kenyata Ali-introduce Harambee na Mwalimu Akaja na azimio la Arusha na kadhalika.

Pia tujadili athari za maamuzi haya katika maisha yetu ya sasa kiuchumi, kielimu na kimaendeleo.

SAHIBA.
 
ningeomba hili suala liwekwe pembini tukabiliane na current issue, zinazo tukabili sasa hivi , kama bandari, dowans/richmond/epa etc, otherwise tutajikita kwenye vitu vingi, at the end of the day tukashindwa ku-achieve our objectives.
 
Kitasemwa kipi kipya kuhusu Nyerere hapa ambacho hatukisikii karibu kila thread ya Nyerere ikianzishwa.Hata tungesema tudiscuss issue ya siasa za Kenya na Tanzania,mambo bado ni yaleyale,hakuna jipya
 
Mwalimu na Kenyatta waling'atuka miaka nenda rudi. Hatutakuwa tunaisaidia jamii kama tutabaki kuongelea waliyofanya nyakati zao. Mambo hayo yatakuwa na manufaa ikiwa tu tunayakumbuka pale tunapoyahitaji ili yatusaidie kuamua cha kufanya kutokana na experience hizo. Not to discuss for the sake of engaging in discussion only.
 
To discuss kwa maana ya kujua tulipoteleza then tusirudie makosa si kutojadili na kuendelea na makosa.Ukiwa ndani ya Tanzania kumjadili Mwalimu kwa uwazi ni sawa na kumdhalilisha katika macho ya watanzania wengi ambao hawako tayari kwa mijadala kama hii.Hivyo wengi wa Watanzania Kwa hakika hatumjui Mwalimu kiundani,dhamira za maamuzi yake kisiasa,kifamilia na kiuchumi. think twice.

SAHIBA.
 
ningeomba hili suala liwekwe pembini tukabiliane na current issue, zinazo tukabili sasa hivi , kama bandari, dowans/richmond/epa etc, otherwise tutajikita kwenye vitu vingi, at the end of the day tukashindwa ku-achieve our objectives.

Remember Old is gold and new is rubbish...
 
Lazima kuongelea tulikotoka, kwa vingine tutarudia makosa ya zamani.

(1)Mwalimu alipiga vita ukabila, Kenyatta hakufanikiwa kwa hilo.

(2) Mwalimu alikataza ujenzi wa shule binafsi. Hilo lilikuwa kosa kubwa ajabu. Leo hii ungeondoa shule binafsi ungefilisi Elimu Tanzania. Kenyatta alizunguka Kenya nzima akihamasisha shule za HARAMBEE. Matokeo yake ni kwamba leo hii idadi ya wasomi Kenya ni mara tano ya ile ya Tanzania.

(3) Mwalimu aliamini Ujamaa (socialism) ni feasible. Kenyatta alimwambia Mwalimu hicho kitu hakiwezekani. Kenyatta alisoma Uchumi London School of Economics, Mwalimu alisoma Historia Edinburgh. Walirudi na mitizamo tofauti sana.

(4) Mwalimu alijali UHURU wa Afrika nzima, Kenyatta alijali maslahi ya Kenya peke yake.

(5) Mwalimu was a polished intellectual, Kenyatta was a down to earth, and even crude, realist. Wakati Mwalimu akisema Ujamaa ni utu, Kenyatta alisema "kama unaona mutu imelala, nyonya yeye"!

Etc.
 
Nyerere hata television aliona ni anasa Kenyata akasema Mwalimu umechanganyikiwa.

SAHIBA.
 
Back
Top Bottom