johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,845
- 141,767
Hawa ni viongozi wenye itikadi tofauti ambazo hazikuwa wazi sana kwakuwa itikadi ya chama iliwabana.Wote wana ushawishi na ufuasi wa kutosha.Nyerere ni kama ameshapata mrithi wa itikadi yake,Lowasa tunaye je ni nani atavaa viatu vya Sitta?Au ameondoka na zama zake na kwahiyo tutabaki na itikadi ya mwalimu ambayo bado inaishi na ya ubepari ikisimamiwa kichama na chadema!