Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kukimbizana na Wamachinga barabarani

Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kufukuzana na wamachinga barabarani hata Italy pale wana mzigo wa madeni.

Kumbukumbu ya miaka 22 baada ya kifo cha Nyerere

Source: ITV
Huyo ni mtakatifu Mchonga

Kiongozi wa Malaika bwana Meko yeye anasemaje?
 
Hi quote ume paraphrase kwa sababu zako za kisiasa ?

Kipindo cha Nyerere yupo hai kuna machinga gani waliokuwa wakikimbizwa na serikali?

Tunapotoa quote za viongozi hazifai kuwa edited
 
Lakini Wamachinga wa Tanzania hawabanwi kulipa kodi bali wao ndiyo wanasaidiwa wafanye biashara ktk mazingira sahihi siyo barabarani.

Hivyo ukimnukuu great man Mwalimu Nyerere, ujue context ya alichokizungumza na unachotaka kupresent ktk jamii. #Vinginevyo ni vibweka gizani..😀😀😀...
 
Hakuwataja machinga ila amezungumzia wadogo wadogo ambao pengine tungewaita machinga.
 
Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kufukuzana na wamachinga barabarani hata Italy pale wana mzigo wa madeni.

Kumbukumbu ya miaka 22 baada ya kifo cha Nyerere

Chanzo: ITV
Aliwabana ACACIA ,juna jamaa akawaambia "mtashtakiwa MIGA........".

Siku hizi tunaona Mafisadi wanavyozidi kuwainspire vijana....... manake washakuwa mashujaa.
 
Hi quote ume paraphrase kwa sababu zako za kisiasa ?

Kipindo cha Nyerere yupo hai kuna machinga gani waliokuwa wakikimbizwa na serikali?

Tunapotoa quote za viongozi hazifai kuwa edited
Inawezekana kipindi chake hakukuwa hivyo sababu yy alikuwa Rais na aliongea hivyo baada ya kuona treatment waliokuwa wanayoipata wamachinga wakati wake na wakati wa awamu nyingine ni tofauti na kushangaa wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi.
 
Back
Top Bottom