Nyerere: Rais tunayemtaka awe na sifa hizi; CCM ikishindwa WAPINZANI Watatupatia mtu HUYO

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
1. Je rais tuliye naye anapiga vita rushwa? Nakerwa na rushwa, anaongoza mapambano wazi wazi juu ya rushwa???

2. Je anashughulika na umasikini wa Watz? Je anajua nchi hii bado ni ya wakulima na wafanyakazi???


3.Je unakerwa na udini? Mtu aijue mwenyewe dini yake sio wakati wa uteuzi wa nafasi tunabalansisha dini za watu, je anakerwa na uduni??

4. Je anapinga ukabila kwa namna yoyote ile???

PIMA MWENYEWE KAMA AWAMU YA TATU, NA YA NNE IMETUSAIDIA KUPUNGUZA LOLOTE KATI YA HAYO MANNE.

Nawasilisha
 
CCM ndio vinara na waratibu wa rushwa, udini na ukabila! Na hivi mbadala wake ni CHADEMA. Hili liko wazi, halina majadiliano!!
 
Anawambia wajumbe wamepokea vocha ya simu ya laki 2 mbili, kama rushwa wakiiendekeza itaua chama, je amechukua hatua kwa aliyetoa hiyo rushwa???
 
Wanaotuhumiwa na harufu za rushwa na matumizi mabaya ya madaraka anawaite ni panga liliokuwa na kutu, Je yuko serious na mapambano dhidi ya rushwa, anapambana wazi wazi, anaongoza mapambano??? au amekasimu suala hilo kwa CDM na Slaa in particular?
 
Je serikali yake inakuwa kila mara na mawaziri nusu wakristo nusu waislam, Je ni kwa bahati mbaya tu au anapanga???
 
ukabila sijui, ila hili linarithiwa na ujinsia, anapendelea sana wanawake kuliko wanaume hata kama ni kwa hasara ya nchi, yaani uwezo wa kinamama ni mdogo; mfano tu siku hizi unasikia DC, RC anayevumaaaa??? hakuna vile kaweka wamama kibao utendaji ni wa kudesa tu na business as usual hakuna ubunifu ya Mnari etc.
 
Sasa hao wamemwangusha nyerere puuuu kwenye tope, Je Wapinzani vipi? wako tayari kumfuta mwalimu tope na kumpa nafasi yake ktk maisha yetu waTZ
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom