frank cain
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 470
- 69
tuachane na longolongo za marehemu. katuacha hai, hatuko vitani, na muundo wa nchi unaoeleweka. tukae chin tupige kazi
Jana katika kipindi cha jahazi cha radio clouds FM, mtangazaji wa wa kipindi Bw, Kibonde katika kujadiri kigoda cha Mwalimu Nyerere, Kibonde alisema kuwa Baba wa taifa Hayati Mwl J.K Nyerere (R.I.P) ndiye aliyeleta anguko la uchumi wa Tanzania wakati nchi aliikuta katika hali nzuri sana, aliendelea kusema kuwa Mwalimu kuamua kwenda vitani na Uganda ndiyo chanzo cha umasikini ulipo mpaka sasa. Kibonde aliendelea kuutangazia umma kuwa hapakuwa na sababu ya kwenda vitani kwaani Idd Amin hakuwa ameichokoza Tanzania. Ila Mwalimu alikuwa na sababu zake binafsi. Niliposikia habari hii binafsi niliona ni vibaya na kukosa heshima kwa kumsema baba wa Taifa katika chombo cha habari huku hakuna upande wa pili kulisemea jambo hili, Je taaluma ya habari inasemaje? Je ni halali kumsema mtu wakati hakuna upande wa pili wa kulisemea jambo hili. Na kama ni kweli hapakuwa na sababu ya kewnda vitani je Uganda wadai tuwalipe compensation ya kuanzisha viat bila sababu? Kama kibonde amepotoka tunaomba serikali iliweke sawa swala hili kwaani habari inavuka mipaka ya nchi.
UTAIFA KWANZA SIASA BAADAE.
Ndo maana wenye akili zao walishasema kichwa siyo kwa ajili ya kifuga nywele. Nyerere aliipokea nchi ikiwa nzuri kutoka kwa nani?Jana katika kipindi cha jahazi cha radio clouds FM, mtangazaji wa wa kipindi Bw, Kibonde katika kujadiri kigoda cha Mwalimu Nyerere, Kibonde alisema kuwa Baba wa taifa Hayati Mwl J.K Nyerere (R.I.P) ndiye aliyeleta anguko la uchumi wa Tanzania wakati nchi aliikuta katika hali nzuri sana, aliendelea kusema kuwa Mwalimu kuamua kwenda vitani na Uganda ndiyo chanzo cha umasikini ulipo mpaka sasa. Kibonde aliendelea kuutangazia umma kuwa hapakuwa na sababu ya kwenda vitani kwaani Idd Amin hakuwa ameichokoza Tanzania. Ila Mwalimu alikuwa na sababu zake binafsi. Niliposikia habari hii binafsi niliona ni vibaya na kukosa heshima kwa kumsema baba wa Taifa katika chombo cha habari huku hakuna upande wa pili kulisemea jambo hili, Je taaluma ya habari inasemaje? Je ni halali kumsema mtu wakati hakuna upande wa pili wa kulisemea jambo hili. Na kama ni kweli hapakuwa na sababu ya kewnda vitani je Uganda wadai tuwalipe compensation ya kuanzisha viat bila sababu? Kama kibonde amepotoka tunaomba serikali iliweke sawa swala hili kwaani habari inavuka mipaka ya nchi.
UTAIFA KWANZA SIASA BAADAE.
Enough with romantization of Mwalimu.
99% ya watawala wetu leo wote walilelewa na mwalimu hivyo ni uzao wake
kwa hiyo its fair to say matatizo yetu yalianza toka enzi zake na sasa wanaendelea kuruthishana kama ambavyo CCM wanawapitisha watoto wao kuchukua na nafasi na CHADEMA akina mtei kuwaandaa akina Mbowe kututawala
Mimi naona Mwalimu ndio cause ya matatizo yetu yote haya
hakutaka accountability wala transparency kwa hiyo wanasiasa wetu wa leo wanaendeleza yale yale ya mwalimu.
Kama hamuamini Tazama Cabinet imejaa akina nani na wametokea wapi? Mtu kama Mathias Chikawe tazama profile yake utaelewa naongelea nini
kweli kuna mijitu haina ShukraniMtatukana sana ila Hakuna kama nyerere nchi hii.
Jana katika kipindi cha jahazi cha radio clouds FM, mtangazaji wa wa kipindi Bw, Kibonde katika kujadiri kigoda cha Mwalimu Nyerere, Kibonde alisema kuwa Baba wa taifa Hayati Mwl J.K Nyerere (R.I.P) ndiye aliyeleta anguko la uchumi wa Tanzania wakati nchi aliikuta katika hali nzuri sana, aliendelea kusema kuwa Mwalimu kuamua kwenda vitani na Uganda ndiyo chanzo cha umasikini ulipo mpaka sasa. Kibonde aliendelea kuutangazia umma kuwa hapakuwa na sababu ya kwenda vitani kwaani Idd Amin hakuwa ameichokoza Tanzania. Ila Mwalimu alikuwa na sababu zake binafsi. Niliposikia habari hii binafsi niliona ni vibaya na kukosa heshima kwa kumsema baba wa Taifa katika chombo cha habari huku hakuna upande wa pili kulisemea jambo hili, Je taaluma ya habari inasemaje? Je ni halali kumsema mtu wakati hakuna upande wa pili wa kulisemea jambo hili. Na kama ni kweli hapakuwa na sababu ya kewnda vitani je Uganda wadai tuwalipe compensation ya kuanzisha viat bila sababu? Kama kibonde amepotoka tunaomba serikali iliweke sawa swala hili kwaani habari inavuka mipaka ya nchi.
UTAIFA KWANZA SIASA BAADAE.
Mbona sikuelewi? Mimi nakuambia Nyerere kawacha mazuri tu, alikuta nchi haina kiwanda alipoondoka yeye vimejaa viwanda na vinafanya kazi. Vya machine tools, vya nguo, vya matrekta, oohh tena Tanzania tulikuwa tunazalisha Matrekta bora duniani, yanaitwa Velmet, hivyo vyote ni viwanda alivyoacha Nyerere vinazalisha kwa wingi sana. Kaacha uchumi uko juu sana, tuna akiba kibao benki. hatuna madeni wala hatuhitaji msaada. Nani anaesema Nyerere hajafanya kitu?
Alituachia UWT ambao wanafanya madudu sasa
Alituachia Jeshi la Polisi
Alituchagulia Mkapa
mmmh. Kweli akutukanaye akuchagulii tusi! Tumekusoma mkuu!Enough with romantization of Mwalimu.
99% ya watawala wetu leo wote walilelewa na mwalimu hivyo ni uzao wake
kwa hiyo its fair to say matatizo yetu yalianza toka enzi zake na sasa wanaendelea kuruthishana kama ambavyo CCM wanawapitisha watoto wao kuchukua na nafasi na CHADEMA akina mtei kuwaandaa akina Mbowe kututawala
Mimi naona Mwalimu ndio cause ya matatizo yetu yote haya
hakutaka accountability wala transparency kwa hiyo wanasiasa wetu wa leo wanaendeleza yale yale ya mwalimu.
Kama hamuamini Tazama Cabinet imejaa akina nani na wametokea wapi? Mtu kama Mathias Chikawe tazama profile yake utaelewa naongelea nini
Jibu unalo mwenyewe? kwani Nyerere aliwahi kufanya makosa kiuongozi?