Nyerere: Nchi inaongozwa kwa katiba na sio kwa mawazo ya mke wako

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba nchi haingozwa na maoni ya mke wa mtu,hayo aliyasema Mwalimu Nyerere baada ya kuanza kuona dalili ya katiba kuvunja na watawala
Mwalimu Nyerere alienda mbali zaidi na kusema ukiwa kiongozi lazima uape kuilinda na kuitetea katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na si vinginevyo
 
Maneno haya wakisikia buku 2 sijui hiyo balaa lake. Lakini huo ndio ukweli. Nchi haiongozwi na mawazo ya kupewa na mkeo
 
Hakuna tena cha Katiba,bunge,financial regulations,polisi, mahakama wala nani wala nini
Amebaki Mwendokasi tuu,ndio kila kitu
 
Maneno haya wakisikia buku 2 sijui hiyo balaa lake. Lakini huo ndio ukweli. Nchi haiongozwi na mawazo ya kupewa na mkeo
Nchi hi ina wazembe wa kufikiri wengi sana, yaani mtu unaondoka nyumbani kwako asubuhi na mapema halafu unawahi Lumumba kwenda kusotea buku 2? Umasikini mwingine hua wa kujitakia aise. Sorry kwa kutoka nje ya maada but hua inanisikitisha sana, nina hakika mpiga debe anatengeneza zaidi ya hizo per day
 
Maneno haya wakisikia buku 2 sijui hiyo balaa lake. Lakini huo ndio ukweli. Nchi haiongozwi na mawazo ya kupewa na mkeo

Siku hizi ukimnuu mwalimu nyerere wanaweza kukufungulia mashitaka,lkn poa tu si manene ya mwasisi wa ccm
 
Nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba nchi haingozwa na maoni ya mke wa mtu,hayo aliyasema Mwalimu Nyerere baada ya kuanza kuona dalili ya katiba kuvunja na watawala
Mwalimu Nyerere alienda mbali zaidi na kusema ukiwa kiongozi lazima uape kuilinda na kuitetea katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na si vinginevyo
Na bado mpaka muombe pooo ama yale ya Geita, hawamu hii ni lazima mcheue.
 
Back
Top Bottom