Nyerere na utanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere na utanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jile79, Sep 29, 2010.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,381
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  “Mimi ni mshabiki zaidi wa Tanzania kuliko wa ccm. Kama kungekuwa na chama kingine kizuri nisingehangaika na ccm. Ningeacha chama hicho kishike madaraka“
  Maneno hayo yalitamkwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK HALISI) October8 1995 katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga wakati akihutubia mkutano wa kampeni. Watanzania wengi wanaamini kuwa kama Nyerere angekuwa hai, angekuwa ameshakihama ccm kutokana na chama hicho kupoteza mwelekeo na kukumbatia ufisadi na mafisadi.
  Je kikwete,makamba, lowasa,rostam, kingunge,malecela,pinda n.k wanaweza kutamka maneno kama hayo na wako tayari kukihama ccm?
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,381
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  Siamini iwapo akina kingunge wanaweza kusema maneno ya namna hiyo na kutekeleza kwa vitendo.......
   
 3. P

  Pagi Ong'wakabu Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika hawawezi kunena wala kutenda hayo kwa vile wote hao ni waathirika wa gonjwa SUGU la UFISADI tiba yake PIPOZ PAWAAAAAAAA
   
 4. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nyerere, huwezi kufananisha na kiongozi wowote wa ccm
   
 5. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu hakuna kiongozi yeyote wa CCM anayefunga masharubu kama ya Hitler. :becky: :becky: :becky:
   
Loading...