Nyerere na Mandela walipata urais kwa wepesi kuliko marais wengine

Kajaribu kusoma historia ya TANU hata kidogo halafu urudi hapa ujione ulivyo mburula.

Mbona Mohamed Said kaiandika sana.
 
Tanzania ilibidi tuvungevunge kupata uhuru. Hawa wazungu tungewaacha hadi 9 December 1998 ndio wakatupa Uhuru nadhani tungekua tumeendelea kuliko hata South Africa, barabara za rami zingesambaa nchi nzima. Nchi ingekua na viwanda vingi, maisha bora na uzazi wa mpango, shule zingekua bora, hospitali zingekua kila kijiji, mradi wa treni SGR ungekuwepo tangu miaka hiyo.Daaah basi tu yote maisha. Masela msijenge chuki, ni mtazamo tu.
 
Leo nimeona nizungumzie Hawa maraisi wawili Nelson Mandela na Julius nyerere Hawa Ni miongoni mwa maraisi waliopata uraisi kiwepesi kuliko maraisi Wengine afrika

Kama unakumbuka harakati za kusaka Uhuru nchini afrika kusini hazikufanikiwa na Hatimae Mandela akatupwa jela na kukaa kwa miaka 27 Kama jela ingekuwa ngumu kwa Mandela sizani Kama angetoka akiwa na hali nzuri simply means wazungu walimuhifadhi tu ili asiwasumbue

We ni kilaza wa kutupwa kabisa, Mandela alipata uraisi kwa wepesi?
unajua viongozi wangapi waliuliwa wakati wa harakati za kudai haki?
Hivi unaelewa maana ya kukaa jera miaka 27,!!
Unawajua "umkonto We sizwe "siku ya mtoto wa Afrika unajua kwanini inasherehekewa,, katafute historia,
Achana na kitu jera, tena ya makaburu, kasome historia ya chriss han, steve biko, uone walivyouliwa,
Kama wazungu wa South ktk karne hii, walimkamata kijana mweusi wakamuweka ndani ya jeneza, unafikiri miaka hiyo ya 40,50,60.waafrika walikuwa wanatendewa vp,
The Man paid the price with Blood,
Kwani sasa hv, maraisi wanalipa gharsma gani kuupata uraisi, tume unaiteua wewe, mwenyekiti wa tume, unamteua wewe, sasa mambo kiuraiiini kabisa
 
Tanzania ilibidi tuvungevunge kupata uhuru. Hawa wazungu tungewaacha hadi 9 December 1998 ndio wakatupa Uhuru nadhani tungekua tumeendelea kuliko hata South Africa, barabara za rami zingesambaa nchi nzima. Nchi ingekua na viwanda vingi, maisha bora na uzazi wa mpango, shule zingekua bora, hospitali zingekua kila kijiji, mradi wa treni SGR ungekuwepo tangu miaka hiyo.Daaah basi tu yote maisha. Masela msijenge chuki, ni mtazamo tu.
Issue Ni kwamba waingereza waliondoka wenyewe hawakufukuzwa
 
we ni kilaza wa kutupwa kabisa, Mandela alipata uraisi kwa wepesi?
unajua viongozi wangapi waliuliwa wakati wa harakati za kudai haki?
Hivi unaelewa maana ya kukaa jera miaka 27,!!
Unawajua "umkonto We sizwe "siku ya mtoto wa Afrika unajua kwanini inasherehekewa,, katafute historia,
Achana na kitu jera, tena ya makaburu, kasome historia ya chriss han, steve biko, uone walivyouliwa,
Kama wazungu wa South ktk karne hii, walimkamata kijana mweusi wakamuweka ndani ya jeneza, unafikiri miaka hiyo ya 40,50,60.waafrika walikuwa wanatendewa vp,
The Man paid the price with Blood,
Kwani sasa hv, maraisi wanalipa gharsma gani kuupata uraisi, tume unaiteua wewe, mwenyekiti wa tume, unamteua wewe, sasa mambo kiuraiiini kabisa
Tatizo umebez kwenye nadharia na sio ukweli imagine wamemuweka magereza miaka 27 wangeamua kumuua wangeshindwa? Kwanini hawakumuua? Mtu anakutoa gerezani anaitisha uchaguzi na unatangazwa mshindi anakubali Zimbabwe chance hiyo walipata? Mozambique waliipata?
 
Ila Mandela alikaa sana lupango. Kaingia kijana katoka mzee. Yani alikaa lupango kama vile kamgonga denti tena wa primary. Kwa hapa Tanzania ukweli ni mchungu, mjerumani asingeyumba katika vita ya pili ya dunia akaendelea kututawala sidhani kama Baba wa taifa angepewa nchi kiurahisi. Tungetawaliwa na Germany machine hadi nchi nzima tungenyooka na akili ingetukaa sawa. Muingereza alikua muangalizi wa koloni, ndio maana alitupa uhuru bila kashkash.
 
TAKATAKA kabisa hii, mmezaliwa mkakuta blueband mezani na siagi zingine ndio maana mnaota pembe

Kunguni wewe.
 
TAKATAKA kabisa hii, mmezaliwa mkakuta blueband mezani na siagi zingine ndio maana mnaota pembe

Kunguni wewe.
Kama angekua karibu ningemzaba kibao.
Soweto uprising watu zaid ya 700 walifarik afu kenge mmoja analeta huu upuuzi
 
Back
Top Bottom