Nyerere na Kenyatta....naulizia swala la afya ya Rais.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Napenda mwili wa Mwalimu ukilinganishwa na wa Kenyatta ambaye alikua na magonjwa kibao ya presha na kadhalika nyenginezo mpaka alikua hathubutu kupanda ndege!

...What was the secret to Mwalimu's health?

...Je Mzee wa magogoni anafuatilia mambo ya umuhimu wa checkups?

....Is the knowledge about the Presidents health, public information ama ni siri ya wakuu?...Just asking?

8074007780_6c7931b661_b.jpg

8074013857_628bd84a02_b.jpg
 
Hebu jaribu kusoma biography zao, Kenyatta alichukua nchi akiwa na miaka 70, wakati mwalimu alikuwa ni 40. Yani hapo ni mtu na babake, you cant compare the health of these two individual equally.
 
afya ya nyerere ilikua ya mashaka bcoz alizeeka mapema sana nadhani kutokana na concentration ya mawazo. kumbuka kenyatta amezaliwa 1880's lakini ukiwatazama pichani unaweza hisi wanalingana
 
Nyerere was simply "eliminated" by someone linked to the Tanzanian government so the exercise of giving away those parastatals could proceed smoothly.
 
Namuona Mzee Toroitich Arap Moi kwa nyuma anawazia jinsi angeyabeba madaraka
 
Ab-Titchaz, aisee hii picha nzuri sana, umeipata wapi?

Napenda mwili wa Mwalimu ukilinganishwa na wa Kenyatta ambaye alikua na magonjwa kibao ya presha na kadhalika nyenginezo mpaka alikua hathubutu kupanda ndege!
Hii picha nafikiri ilipigwa miaka ya sabini wakati mzee Kenyatta alikuwa na kwenye miaka ya themanini. Japo kuwa walikuwa wamepishana miaka kama 28 utaona Mzee Kenyatta anaonekana yuko gado sana.
 
Nyerere was simply "eliminated" by someone linked to the Tanzanian government so the exercise of giving away those parastatals could proceed smoothly.

Mkuu Kichuguu wale wa intelijensia si watakumaliza kaka!! Siri kuu hii ati...
 
Nyerere alikuwa anamheshimu sana Mzee Kenyatta kiasi kuwa alikuwa anataka waunde Federation ya Afrika Mashariki na Mzee Kenyatta ndiye awe rais wake, Nyerere mwenyewe awe waziri wa mambo ya nje. Walishindana katika uundwaji wa Federation, lakini bado Nyerere alikuwa tayari kumkatia Kenyatta eno la Sumbawanga ili wakikuyu waliokuwa hawanaa ardhi huko kwao wahamie. Walivurugana kutokana na siasa za wakati huo; hasa baada ya Tanganyika kuungana na Zanzibar, na hivyo kujikuta anapata msukumo wa kutoka nchi za magharibi afanye mambo ambayo alikuwa hataki.
 
kenyata origino ,nyerere mchina

Back
Top Bottom